Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
Hilo ni ndogo sana! Hiyo ilikuwa ni maoni yangu tu baada ya kuona hiyo taarifa, lakini kama nyinyi ni kama mbuni ndege, sawa, twende kama kawaida!!Hawa kwa sasa wanaweweseka sana. Wanatafuta kila mbinu kuichafua Dar es salaam. Hii thread mpaka UK ameupitia. Media zote za kenya zimepita hapa. Kwahiyo wanatafuta watoke vipi.
Tumeshawagonga na tumemaliza.