MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,088
- 35,430
Humu JfKuna jambo huwa sielewi, wasanii wabongo video zao za nyimbo hawafanyi kule Dar?? Kunani, Sio kama wasani wa Kenya wanachapa video hapa hapa jijini Nairobi.
kuna Vila*za 5kutoka kenya
wewe namba 3
wengineo wanajitambua!!
Bongo flava inamiaka mingi ikitoa video zake Tanzania
kuchanganya mandhari ikabidi watu waende nje ya Tanzania
na si kila wimbo lazima nje ya Tanzania.
Nyie mna lipi lamaana kwenye music
kama kina BAHATI
Ndio super star!!
Kweli mnasafari ndefu