LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Badala ya kupiga domo hapa, mtu apost picha za neighbourhoods. We are waiting.
Kuona Nairobi online si kufika Nai..kutoka tu Airport hadi city centre(Mombasa road) utaheshimu hii cityAcha uongo nimefika Nairobi nilitembea kidogo tu nikatokea gikombaa nilishangaa sana city centre kuna matope na nyumba za mabati ila kingine usalama mdogo nilichelewa kurudi hotelini wakaniambia unabaati chokoraa wangekukamata ingekuwa shida
Ukweli usemwe Nairobi ndogo sana na hayo majengo unayo post uku nimeyaona Kwa macho hayana uzuri wala urefu was kutisha maana nilikuwa si angalii minara kumbe nyie mnahesabu adi minara unakuta half ya jengo ni mnara
U can't compare that to this architecture
JitulizeTuonyeshe suburbs kaka
Nimegundua wa Kenya huwa hamtembei Naona ni uchumi unawabanaKuona Nairobi online si kufika Nai..kutoka tu Airport hadi city centre(Mombasa road) utaheshimu hii city
Nyinyi kwanza mnakazia wakenya kuja huko kwenu..kwenda Uganda ama Rwanda nahutaji ID ya Kenya but hapo kwenu nyinyi watiaji ndio maana hamtawai endeleaNimegundua wa Kenya huwa hamtembei Naona ni uchumi unawabana
Ila kuna wenzako wanakujaga na magari ya shule au vyuo kutoka uko kuja Tanzania ku enjoy kama pasaka hii wamejaa uku wanapenda sana kwenda Mwanza na Arusha ila dsm wanaona gharama kufika
Du! Umekalia Msumari!!Nyinyi kwanza mnakazia wakenya kuja huko kwenu..kwenda Uganda ama Rwanda nahutaji ID ya Kenya but hapo kwenu nyinyi watiaji ndio maana hamtawai endelea
CBD skyscrapers zinahesabika alafu mnataka kushindana na Dar zilizotapakaa jiji zima.Nairobi's CBD and Upperhill District clearly separated by parks
![]()
Cbd huku ni tatu mseeCBD skyscrapers zinahesabika alafu mnataka kushindana na Dar zilizotapakaa jiji zima.
Nilikuambia wewe na mwenzieMtume suburbs bwana..hii ni nyayo estate upper middle class.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
the last photo has JKIA on the background.![]()
Cbd huku ni tatu msee
From Onboard Kilimanjaro 6 from Zanzibar by indaressalaam, on Flickr
Dar Zanzibar trip by indaressalaam, on Flickr
From Onboard Kilimanjaro 6 from Zanzibar by indaressalaam, on Flickr
The view from MNF Tower rooftop. by indaressalaam, on Flickr
Kijitonyama Area by indaressalaam, on FlickrSi mmesema hii ni 2017...na mnataka vi2 za 2017....ka Hamna picha za suburbs museme kuliko story mobNilikuambia wewe na mwenzie
Ma Zero
hakuna jipya hapa Jf mnalo ninyi!!
Wakenya wenye akili kuliko ninyi
walisha maliza hizo habari,
Hatupo hapa kurudia ujinga!!
Mada ya Suburbs ilianzishwa 2012
na imekuja kutulia mwaka 2016 miaka 4 watu wanajadili Suburbs
leo mturudishe kule!!
![]()
![]()
Mnapo kuwa wageni mjaribu kutuliza Nyege
hakuna jipya Humu Jamii forum
Umeprove dar ni tower mbiliKwenye hiyo photo ndio CBD zenye majengo yote marefu old CBD inaonekana TIMES TOWER ambayo ni only over 30Floor, na kule Upper hill kuna BRITAM na UAP only 2 towers with over 30 floors. Huko Westland bado hamna tower yoyote ndefu yenye zaidi ya 30 floor labda baada ya miaka 4. Kwa hiyo hiyo picha hapo inaonyesha majengo yenu yote marefu. hiyo CBD ya tatu bado sana.
Hivyo nakushangaaga sana kila siku unasema Dar ni tower mbili tu.
From Onboard Kilimanjaro 6 from Zanzibar by indaressalaam, on Flickr
Dar Zanzibar trip by indaressalaam, on Flickr
From Onboard Kilimanjaro 6 from Zanzibar by indaressalaam, on Flickr
The view from MNF Tower rooftop. by indaressalaam, on Flickr
Hata nje ya CBD Kuna BUildings over 30 Floors
Kijitonyama Area by indaressalaam, on Flickr

Umeprove dar ni tower mbili![]()
![]()
![]()
![]()