Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tulishajadili kuhusu vitongiji vya dar tangu mwaka jana. rudia kusoma page za 2017.
Sikuviona. Nimefuatilia huu uzi hata kabla sijajisajili. I was reluctant to register because I knew what would happen and it is happening now. I will leave when the right time comes though Let me continue enjoying the ride.
 
Thank you....nikuulize 60% ya $80bln mi 69bln?
2022 mutakua na debt ya 69b usd ikiwa sasa hvi muna debt ya 60% to GDP ratio😂😂😂😂👏👏👏👏👏👏 haya sasa nidanganye mchana kweupe kua 2022 mutakua na 300b😅😅😅😅😅😅
 
alaaa!!kumbe mfano..duh!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimecheka sana leo unaniambia 2022 mutakua 300 hahah yani unapiga hesabau za bajia unajua na uchumi hvo hvo😂😂😂😂
 
2022 mutakua na debt ya 69b usd ikiwa sasa hvi muna debt ya 60% to GDP ratio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] haya sasa nidanganye mchana kweupe kua 2022 mutakua na 300b[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
ukwel waujuwa..ila kuukubali huwezi..
 
heheee!!cheki difference...labda ulete lile daraja la tazara..labda laeza jaribu..ila sidhani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 880114View attachment 880118
😂😂😂😂👇👇👇👏👏
113E7526-8BC4-44D8-A40B-97BC10162738.png
 
Back
Top Bottom