Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So what..tukiwa na deni inakuhusu nini...Poor guys here complaining..give me your number i buy u a drink via mpesa
kwanza njoo dar mm ntakulipia kila kitu uje ushuhudie na kula bata mpaka kuku aone wivu😂😂😂😂😂😂
 
hahaaaa!!jifurahishe brother..watu wangapi wana hela na wanakopa benki..wacha kujitoa ufahamu . walitangulia wengi sana km yeye...na bado nchi yapaa
kukopa sio tatizo lakini ukikopa ukazidi hata revenue shida ndio inaanzia hapo😂😂😂😂😂😂😂
 
Wanaume wa bongo na umbea. Huwezi jua tofauti yao na madem
suicide alert [emoji3544][emoji3544][emoji3544]...[emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_2018-09-28-09-56-47-759_com.twitter.android.jpeg
 
Hahahaha eti watu huungana baada ya uchaguzi, Kenya kila kitu ni ukabila hadi marriages ni ukabila, sehemu inayoongozwa na mjaluo, mkikuyu hana nafasi, ninyi hamtakaa muungane, laana ya ukabila itaendelea na inazidi kuwatafuna
kw story za vijiweni tu..hamjambo..
 
mombasa si kenya, si ndio?
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]

naona sindano uliyodungwa imekuingia mpaka unataka kutuchagulia vitu vya kupost.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
jamaaa hajui kama pwani yao sio part of kenya alikua hajui kama muungano😂😂😂😂😂
 
jamaaa hajui kama pwani yao sio part of kenya alikua hajui kama muungano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ni tanzania...manake mnaomba angalau kutokee ushahidi km pwani ya kenya ni tz angalau iwasaidie kutoka ldc
 
Back
Top Bottom