Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

the lady above commited suicide because of relationship issues
ndio maana nikasema una degree ya ujinga.look how fool you are. hasira ya
ujobless ikizidi jinyonge kama yeye.

the cause of her death is well documented by your own media.


IMG_20180928_085916.jpeg
IMG_20180928_090117.jpeg
 
boss how good is your English?all these articles you're bringing here are all clearly stating about the future not the present, earlier in post you stated that Kenya debt as of 2018 is $69bn which translates to 82% to GDP ratio,we all know that is false because the debt of Kenya to GDP ratio is about 56%......
unajua ww unafkiri ndoto zako za alinacha ziwe kweli ndugu yangu ikiwa 80b sasa hvi muna debt ya 60% na still uchumi wenu uko ovyo na red light mulishamulikiwa na IMF sasa hvi 70% of revenue inalipa deni what do u think in future😂😂😂😂😂😂
 
huyu jamaa namjua muda mrefu sana na haya yanayotokea leo aliyasema miaka minne iliopita lakini mukamuona mjinga leo hii sasa mumefkiri hatua ya kukopa debt kulipa debt tax mpaka kwenye fuel na internet services
hahaaaa!!jifurahishe brother..watu wangapi wana hela na wanakopa benki..wacha kujitoa ufahamu . walitangulia wengi sana km yeye...na bado nchi yapaa
 
nadhani huwo wimbo ushaelezwa kuhusu hilo jambo nyuma...haga..hya leta hyo gdp ya kenya by 2022
nani alikwambia 2022 mutakua na 300b nani alikufundisha ujinga huo mbona hujiulizi 10 yrs ago mulikua na growing economy ya 7% and above lakini hamukunusa hata 100b 😂😂😂😂😂😂 akili kichwani mwako

hesabu za uchumi sio sawa na hesabu za kupanga bajia 👏👏👏👏👏
 
So what..tukiwa na deni inakuhusu nini...Poor guys here complaining..give me your number i buy u a drink via mpesa
ahahha wacha hasira sindano inapogusa tako we tulizana acha sindano itekeleze wajibu wake💉💉💉💉💉💉
 
Back
Top Bottom