may be you are speaking about leaving and coming back coming with another ID.Sikuviona. Nimefuatilia huu uzi hata kabla sijajisajili. I was reluctant to register because I knew what would happen and it is happening now. I will leave when the right time comes though Let me continue enjoying the ride.
Hapa utafiti unatakikana. Yawezekana aliuawa. Si angejitia kitanzi akiwa ndani ya nyumba. Kuna wanaume wanaua wanawake kiholelaholela siku hizi. Hata kama ni kodi ya nyumba sidhani kama mtu anaweza jianika namna hii mbele ya umati. My take tho
Really?Sasa demu mzuri ka huyo anashindwaje kulipa rent???..it seems kaka zako ni bahiri sana,ingekuwa bongo tungemlipia rent ya miezi sita then life goes on,sisi ni gentlemen..
You have a schooling son.? Your behaviours here tells a different storyEven my son knows..i asked him after coming back from school..
Me:my lovely son...
Son:yes daddy..
Me:what is failed state??
Son:failed state is KENYA!
Me:uuuhuuuuuhaaaahaaaaaahhhaaaaaa!!!!
but kwanini issue ya suicide ya huyo mwanamke inawagusa sana?.Hapa utafiti unatakikana. Yawezekana aliuawa. Si angejitia kitanzi akiwa ndani ya nyumba. Kuna wanaume wanaua wanawake kiholelaholela siku hizi. Hata kama ni kodi ya nyumba sidhani kama mtu anaweza jianika namna hii mbele ya umati. My take tho






Kama ilivyovigumu kutofautisha sura za wanawake na wanaume Kenya, you all look alikeWanaume wa bongo na umbea. Huwezi jua tofauti yao na madem

Kama ilivyovigumu kutofautisha sura za wanawake na wanaume Kenya, you all look alike![]()
![]()
![]()



















Aahh sana,mi roho yangu inauma sana,hata siku yangu ishaharibika kabisa yani!..yaani anajiua kwa kushindwa kulipa rent????dah so sad!Really?
Bado kuna mbongo kajitia kitanzi kisa Liverpool lost to real MadridUnamkumbuka yule jamaa mkenya aliyejiua kisa arsenal imefungwa London???
Yaani yule jamaa kungekuwa na mtihani wa ujinga ange-pass kwa distinction!
watakwambia wakenya na media zao huwa hawafatilii mambo ya tanzania.kumbe habari zimewafkia














Yule jamaa aliyejitia kitanzi kisa eti alichoma bettafuta recent suicide incident in tanzania, ukipata nitag.
where and when?... source pls. usilete porojo kama akina Msapere na majobless wenzie.Bado kuna mbongo kajitia kitanzi kisa Liverpool lost to real Madrid
Acha uongo we mwanamke,leta link tuione kama kweli,Bado kuna mbongo kajitia kitanzi kisa Liverpool lost to real Madrid
ukitaka kufanya mjadala wa kisomi na mimi twende fact kwa fact sio porojo.Yule jamaa aliyejitia kitanzi kisa eti alichoma bet
akileta link nitag.Acha uongo we mwanamke,leta link tuione kama kweli,
Mbongo hajiui kijinga....!!nyie ndo mambo yenu!!hahaaaaaa haa
I don't belong here. I just registered to warn you that a lot of netizens are watching you here hating on each since jf is open for everyone to see. Mitusi kibao it's like all of you are holding a masters degree of insults. I am not intending to register with another ID. Tutakuwa tunapatana pale YouTube. Nawajua sana pale hata mkijificha hapa with all these weird namesmay be you are speaking about leaving and coming back coming with another ID.
but once you are IN no OUT.
so forget about leaving jf. you are here forever. jf owns now.
waogopa kusema ukwel kisa uzalendo...mwanzo unahofu...wenzio watakugombeza hapa jf..nakwambia utajutia kuzaliwa..wacha nikupe ushuri..ukitakata kuishi kw amani jf..afdhali ukaendele kuwa kilaza..siku ukikubali ukweli tu..utapigwa vita vynye hujawai viona...maskini ya Mungu nchi ishauzwa tayari![]()
I don't know what others are saying about this. I was just stating my opinion here. Wakenya kwa Facebook na twitter wanaweza sema chochote kile and you people take it seriouslybut kwanini issue ya suicide ya huyo mwanamke inawagusa sana?.
wakenya wengi twitter na media za kenya zinasema kajiua kutokana na ugumu wa maisha uliopelekea kushindwa kulipa rent.
nyinyi wakenya wachache wa jf mnakuja na concept zenu.hofu yenu nini?. ugumu wa maisha kenya?.![]()