Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wikepidia??..u need to be serious with your life i can edit that if u need me to.
Its called WHO budfy! Take some time to visit that WHO site and see it by yourself, i don't really have that time to play merry go rounds!
 
Tumechoka na Jubilee. 2022 wahame! But heri sisi tunabadilisha vyama every now and then sio kama Tz day in day out CCM #ati chama cha Mama na Baba upuz!

Sent from my TA-1032 using JamiiForums mobile app
let's have a wise discussion with facts about this. not porojo.

eti mnabadilisha vyama?, mnabadilisha vyama wakati watu ni walewale.smh.

kenya mna makabila 43. lakini tangu kenya ilipopata uhuru wake mwaka 1963 mpaka hii leo, marais wenu wanatoka katika makabila mawili tu,kikuyu na kelenjin. it's as if people from other tribes are not eligible for presidency.

come 2022,i can guarantee you your president is going to be another kikuyu or its puppet from kalenjin community.
wajaruo mtaishia tu kurusha mawe kwa gari za GSU.

TUJE KWA UPANDE WA TANZANIA:
tanzania ilipata uhuru wake mwaka 1961 na ina makabila zaidi ya 120.

mpaka sasa tz imetawaliwa na marais watano.

*julius nyerere
tribe - zanaki from mara region.
religion - christianity

*ali hassan mwinyi
tribe - zaramo from pwani region.
religion - islam

*benjamin mkapa
tribe - makonde from mtwara region
religion - christianity.

*jakaya kikwete
tribe - kwere from pwani region
religion - islam

*john magufuli
tribe -sukuma from geita region
religion- christianity.

na ninakuhakikishia, rais ajaye wa tz lazima atakuwa ni muislam kutoka kabila lingine la tz.
 
boss how good is your English?all these articles you're bringing here are all clearly stating about the future not the present, earlier in post you stated that Kenya debt as of 2018 is $69bn which translates to 82% to GDP ratio,we all know that is false because the debt of Kenya to GDP ratio is about 56%......
 
acha hasira basi kua na deni hakumaanishi mutakufa ila nchi itauzwa nyie mutabaki kua watumwa hamutakufa so dont take it bro
dr ndii aliyase leo hii kumbe 70% of revenue yote inaenda kwenye debt
Nipe source Deni la Kenya 2018 ni 69bln ama Kwa kifupi 82% debt to GDP ratio.
 
hapana tundulisu sio economist my friend dr ndii ni economist, tundu lissu ni mwanasheria

hao ni watu wawili kabisa kwenye fani mbili tofauti kabisa

yeye huzungumza habari za uchumi na aliyasema leo yanatokea
Economist MTU ako kwa opposition party?that when the guy lost credibility.
 
14 hours ago.
IMG_20180928_085559.jpeg
 
Unajitoa ufahamu, nenda WHO website ukaone we nyangau, usisumbue watu humu! Wikipedia hapo imetumia site ya who kama reference
So u have resorted to swahili and insults...i told u wikipedia is not WHO website...bring a WHO website here....as per facts TZ leads in suicides in Africa
 
Back
Top Bottom