Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nilikua nampa intro ajue vzr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
magufuli bridge 400meters[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 880061View attachment 880062View attachment 880063View attachment 880064
sasa huwo uchafu ndo wataka ulinganishe na kilifi bridge...cheki height hyo mwanzo
18210_thumb2.jpg
 
kwavile ulikua hujui kama mombasa ni muungano au nikukumbushe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

au ulikua hutak pemba iwe tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mombasa hakuna rais..ila zanzibar yupo
 
nani alikwambia 2022 mutakua na 300b nani alikufundisha ujinga huo mbona hujiulizi 10 yrs ago mulikua na growing economy ya 7% and above lakini hamukunusa hata 100b [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili kichwani mwako

hesabu za uchumi sio sawa na hesabu za kupanga bajia [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
kumbe ulikuwa wayajuwa[emoji122] [emoji122] [emoji122]
wacga hasira basi
 
nani alikwambia 2022 mutakua na 300b nani alikufundisha ujinga huo mbona hujiulizi 10 yrs ago mulikua na growing economy ya 7% and above lakini hamukunusa hata 100b [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili kichwani mwako

hesabu za uchumi sio sawa na hesabu za kupanga bajia [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
10yrs ago hakukuwa na mafuta..ila sasa yapo...mbna raa
 
mombasa si kenya, si ndio?
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]

naona sindano uliyodungwa imekuingia mpaka unataka kutuchagulia vitu vya kupost.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
rais wa mombasa ni nani
 
kukopa sio tatizo lakini ukikopa ukazidi hata revenue shida ndio inaanzia hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
revenue gani hyo...piga hesabu ya gdp 2022..ukipata jibu regea
 
akina nani hao
wewe nawe nahisi huna tofauti na yule kilaza Msapere. una ujinga fulani kichwani.

siwezi ku argue na mjinga. utanipotezea mda wangu.... [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
watz wengi wa mijini wanaishi kwenye nyumba zao ndg. fanya utafiti.
mbna dar zipo nyingi nyingi nyumba za kukodi..wacha porojo hapa...mtawalaghai wa nairobi kuhusu dar ila wa mombasa tunayajuwa yenu..kw sababu wengi wenu wako hku waetoroka makwao bongo
 
wewe nawe nahisi huna tofauti na yule kilaza Msapere. una ujinga fulani kichwani.

siwezi ku argue na mjinga. utanipotezea mda wangu.... [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
heheee!!hv akili yako mtanzania mmoja akijitoa mhanga..inaamanisha km watz wote watakuwa na akili km zake..ama watz akili zao huaga ziko na raisi..kawaachia 1% nchi zima...ndo manake fikra zenu za ukoloni za u kilaza zipo sawa
 
kwavile ulikua hujui kama mombasa ni muungano au nikukumbushe😂😂😂😂😂

au ulikua hutak pemba iwe tanzania😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hizi sio zile news mnatujazia hapa zinajulikana hapa JF peke yake, zetu zinatamba dunia kote.
 
Mama y
mbna dar zipo nyingi nyingi nyumba za kukodi..wacha porojo hapa...mtawalaghai wa nairobi kuhusu dar ila wa mombasa tunayajuwa yenu..kw sababu wengi wenu wako hku waetoroka makwao bongo

Nani akimbilie huko weye! Mimi mgiriama wa Shikadabu na digo, Mombasa ni kama home kwangu na ninaijua uzuri sana, hunidanganyi tone, unaraukia humu kutupa porojo za uongo!?
 
heheee!!hv akili yako mtanzania mmoja akijitoa mhanga..inaamanisha km watz wote watakuwa na akili km zake..ama watz akili zao huaga ziko na raisi..kawaachia 1% nchi zima...ndo manake fikra zenu za ukoloni za u kilaza zipo sawa
jifunze kuandika kiswahili fasaha...kiswahili chako ni takataka. [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Back
Top Bottom