Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

RRONDO check this out >>>
Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.

Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama, ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .

Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
This is Too Much!
 
nadhani kwa issue ya logo na rangi ya tanzania railway cooperation umeshafanuliwa vizuri na umeelewa kuwa hiyo rangi ndio ilikuwa inatumika tangu enzi za nyerere.hatuja copy toka kwenye sgr yenu.

sasa tuje kwenye issue nyingine inayohusu application ya jamiiforum na application ya ile forum yenu ya kenya(i can't mention it here because for some reasons, jf admin doesn't allow it). at the end we will know who copies who.

jamiiforum published its application in year 2012 and your kenyan forum published its application in year 2018.
View attachment 859271
View attachment 859272

tukija kwenye interface, developer wa application ya forum ya kenya ameiga kila kitu toka kwenye application ya jamiiforum.

you can't even differentiate the interface of kenya forum with the interface of jamiiforum. everything look the same. copy and paste at its best.

this is me when i'm in jamiiforum via the app.
View attachment 859280
View attachment 859282

and this is me when i'm in that kenya forum via its app.
View attachment 859283
View attachment 859284

hope umejionea vile wakenya mnavyo copy toka kwa watz.
case closed.
Umemchinja chokoraa wakikenya peupe
 
kibisa yaani... jamaa wame kopi kila kitu. hili jambo walilifanya miezi michache iliyopita wakati jf ilipotoweka hewani.

nadhani walifanya hivo wakijua jf isingeweza kurudi tena hewani wakaamua ku take advantage...shame on them.
Inabidi ifunguliwe thread yakuipush if ifanye jambo halafu wanoko tuarikane
 
Sijui kama nimezirudia, mtanisamehe but i luv the brt Dar
dart-pictures-two-e1470342875868-jpg.859572
View attachment 859574View attachment 859575View attachment 859576View attachment 859577
Wakenya wakuziona hizo huwa inawauma sana
 
Yeah naamini sana, bongo tumekuwa sana na nyimbo za mapenzi, lakini pia vionjo vyetu havijakaa ki proffessional sana, from my own perspective though!
Sawa ila ukitaka mziki udumu lazima nchi husika uwe na radha yake mfano mexican nadhani nyimbo zao tunazijua,marekani & British mziki wao tunaujua,Indian radha za mziki wao zinajulikana,south Africa kwaito nadhani tunaju,Tanzania bongo flavour,Nigeria mziki wao nao wamebunu midundo yao ....



Kenya???????
 
kuna aina nyingi ya Mental Disorders... ila wale wa Tabora wametia fora 😀😀😀 hakuna County yoyote Kenya inayojulikana kwa vichaa na wendawazimu. Tabora iko on another level
Wewe ni miongoni mwa machizi
 
kifusi boy, kiwiko, Zuwenna.... mpoo???? tupieni maoni yenu basi tuweze kuwaokoa wakaazi wa Tabora kuhusiana na hili janga.
Me nahisi ni mtazamo wake tuu, sidhani kama aliyoyandika hapo yana chembe ya ukweli kwa kiasi hiko

Lakini Tabora ni moja kati ya mikoa iliyoko bara yenye waswahili wengi, tabia zake + watu wake typically ni kama wa huku pwani

Chanzo cha huo ukichaa, wehu n.k ni Ushirikina maana ndo kasumba ya waswahili wengi
Over
 
Back
Top Bottom