Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huku tunashinda kuambiwa eti tanzania ya leo sio ya 90's.
ni kweli au ni propaganda za fisiemu?
wazushi tu mkuu, tabora haijabadilika kabisa, huwezi linganisha na mwanza, ipo vile vile, kwani vibanda kama vile nilivyoacha vya kambi mbaya vipo vile vile kule maeneo ya chemchem, mwanza road kilichobadilika ni watu kuwa wengi lakini nyumba ni zile zile, isevya ni zaidi ya manzese palivyo
 
i'm a good fan of kenyan music but honestly speaking i don't know this guy.his name is new to me.

i thought the source of his wealth came from music kumbe ni mambo ya family business.

bila shaka wazazi wake watakuwa walishawahi kushika nafasi kubwa katika government wakaiba vya kutosha. pia nahisi huyu atakuwa ni mkikuyu 100%.

halafu watu wa namna hii they are not talented . they do music in order to get attention. they are attention seekers.

hope unakumbuka miaka ile prezzo alivyokuwa na majigambo ya utajiri wa kurithi ilhali kimziki yupo zero mpaka leo.

acha diamond platnumz ang'are.

maybe you missed this, so let me repost it.

Kenyan Musicians are talented my friend. Diamond hawezi fikia huyu.

Just like Tanzanians have Diamond, we have Stella Mwangi who is quite a big deal.
She is an international rapper who, on my opinion she's pretty much made it. Here's why I think so.
She performs in super super big stages with big rappers or just her own shows.
She does the theme songs for big Hollywood movies like:
Bad Moms,
Ballers,
Basketball Wives,
Fox Tv's Rosewood,
big brands like
Samsung,
Tommy Hilfinger
Reebok
Just to name a few...
View attachment 857252View attachment 857253View attachment 857254View attachment 857255View attachment 857256View attachment 857257

View attachment 857259

Hang on there, Look who gave her a shout out on her rapping skills... Non other than Dwayne Johnson - The Rock.

View attachment 857260
Look at how wild the crowds go on her performances

View attachment 857262View attachment 857261
 
kwenye suala la music industry huwa sipendi ku argue na wakenya. tuendelee tu kujadili flyovers na highways.
 
wazushi tu mkuu, tabora haijabadilika kabisa, huwezi linganisha na mwanza, ipo vile vile, kwani vibanda kama vile nilivyoacha vya kambi mbaya vipo vile vile kule maeneo ya chemchem, mwanza road kilichobadilika ni watu kuwa wengi lakini nyumba ni zile zile, isevya ni zaidi ya manzese palivyo
so unataka kusema watu wa huko wanapenda sana ngono-zembe ili kuijaza dunia na kusahau maendeleo?!
 
kwenye suala la music industry huwa sipendi ku argue na wakenya. tuendelee tu kujadili flyovers na highways.
Ni kweli! Naonaga wanapiga sensible tunes! Kiukweli zinagusa, Sauti soul et al too good! Halafu waganda nao wamenyooka sana ktk dancehalls poa!
 
so unakubali kuwa uamuzi ni wako binafsi
acha nifurahishe ego yako ili tufunge huu mjadala.

..kenya inaongoza kwa mziki EA.

..video za wanamziki wa kenya ndio zinaongoza kwa views youtube.

..wanamziki wa kenya ndio wanaongoza kufanya music tour hapa tz, nje ya EA na Africa kwa ujumla.

..wanamziki wa kenya wanaongoza kwa ku generate revenue kuliko wanamziki wa tz.

..diamond platnumz ni mkenya

..wasafi tv inamilikiwa na mkenya

..ali kiba ni mkenya aliyezamia tz

..wanamziki wengi kenya "wanaombwa" na wanamziki wa kitz kufanya music collabos.

..matamsha mengi makubwa ya mziki hapo kenya huwatumia wanamziki wa kikenya pekee bila kuchanganya wanamziki toka tz.

..mziki wa kikenya ni mtamu sana,sexy and romantic kuliko mziki wa tz.

hope nafsi yako imeridhika sasa.

case closed.
 
umejibu kwa jazba kweli...
 
Ni kweli! Naonaga wanapiga sensible tunes! Kiukweli zinagusa, Sauti soul et al too good! Halafu waganda nao wamenyooka sana ktk dancehalls poa!
na wewe unaamini kuwa mziki wa kikenya ni bora sana kuliko wa kitz?.

sauti sol kwa sasa wanatembelea rim. game yao ishapita.
 
na wewe unaamini kuwa mziki wa kikenya ni bora sana kuliko wa kitz?.

sauti sol kwa sasa wanatembelea rim. game yao ishapita.
Yeah naamini sana, bongo tumekuwa sana na nyimbo za mapenzi, lakini pia vionjo vyetu havijakaa ki proffessional sana, from my own perspective though!
 
Mchina kafukuzwa kwa kutukana lakini clip mbili zingine nimeona mzungu anamchapa makofi mhudumu wa hotel lakini sikusikia chochote

Tuwe na ujasiri hata kwa wazungu au ni kama kawaida kumthamini mzungu zaidi

Huyo mchina ilibidi afungwe kwanza halafu asafirishwe

Pia tunasubiri ya mzungu mtuambie mliendelea kumtandikia chumba chake na kumbebea masanduku siku anaondoka?

Mzungu alchapia makofi mhudumu Kenya?

haikuwa Kenya bali kisa hicho kilitokea Afrika Kusini, miaka mitatu iliopita
 
Si kila mtu huskiza Bongo.
Kenya kuna varieties..dancehall hupendelewa sana
kwa EA especially kenya bongofleva is unavoidable, whether you like it or not.

kama hutoisikiliza kwa simu yako, utaisikiliza kwa fm radio.

kama hutoisikiliza kwa fm radio utaisikiliza kwa matatu.

kama hutoisikiliza kwa matatu utaisikiliza kwa club, bar au pub.

kama hutoisikiliza kwa club, bar au pub utaisikikiza kwa keja ya neighbor next door.
bongofleva tibiim
 
Back
Top Bottom