Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lols.... i try my brother.... at least in writing. you wouldn't understand me when you hear me talk.
Hahaha... I can imagine.. usijali, I believe one day you will.. and I also believe one day the EAC partner states will truly be united in all aspects and give the world a run for their money!
 
we all know who is next 🤣SGR
IMG_1536328054.412484.jpg

IMG_1536328081.255093.jpg
 
Nimefuatilia nimeona kumbe ata national broadcaster wao ZNBC tayari ameshakuliwa na mchina! Hii ni aibu sana. Incase jirani waki default Mombasa port will be up for grabs
mchina angekuwa mkoloni nadhani hakuna nchi ingekuwa huru. Juzi aliwaita maraisi wa africa kuwaingiza mkenge. Anyway tunaomba Kenya wapunguze kukopa kopa wawe wapole, tena waangalie zaidi matatizo ya kijamii kuliko miundo mbinu, Mombasa ikichukuliwa mjuwe nasi tumekwisha it will be like Timu ya Gormahia kucheza ligi ya ufaransa.
 
Nimefuatilia nimeona kumbe ata national broadcaster wao ZNBC tayari ameshakuliwa na mchina! Hii ni aibu sana. Incase jirani waki default Mombasa port will be up for grabs
china ni mkoloni mpya anayekuja kwa kasi africa.

mkoloni huyu hatumii mbinu ya devide and rule au ile ya kupandikiza civil war kama wanavyofanya wazungu kule congo ili wao waendelee kuchota madini. yeye anacheza na vifungu vya kisheria kwenye loan treaties.

yaani hawatumii nguvu. mkishindwa tu kulipa madeni yao wanakuja kiupole kukwambia basi kama vipi tupatie mbuga ya "masai mara yote iwe mali ya china".

these chinese are very smart, ukipishana nao maeneo ya CBD unaweza kuwadharau.
 
Yani wananchi hata hamuhusishwi mnajikuta mmeuzwa tu bila hata vurugu.. ! Jamaa siyo watu wazuri kabisa
 
i usually don't go to church or attend gatherings that relate to church ministry.

but safari hii uzalendo umenishinda, lazima nita attend kwenye jumuiko la huyu pastor wa kikenya. niko na business naye.

Screenshot_2018-09-07-20-52-50-440_com.twitter.android.jpg
IMG_20180907_205145.jpg
IMG_20180907_205139.jpg
IMG_20180907_205137.jpg
IMG_20180907_205142.jpg
 
4m si kama watu wote wanaoishi Nairobi?
anxiety and depression. yep.
but machizi wa Tabora wako on another notch hadi kupigana miti hadharani.... labda mimi ndio sishikanishi maana ya "kupigana miti" hadharani.
ama ulifkiri ni ile ya kucharazana fimbo?
 
Back
Top Bottom