Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tayari ameshakushtukia...
kwa sababu ya unafik wako. haunijui. ninaweza kuwa na nia ya kuja kuwasidia watu wa Tabora maana nimeambiwa mji huo una kasumba. kati ya watu kumi, 6 ni wehu na mandondocha.
kwa hivo mzee baba, take your time____
 
Kwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.

Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .

Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
kifusi boy, kiwiko, Zuwenna.... mpoo???? tupieni maoni yenu basi tuweze kuwaokoa wakaazi wa Tabora kuhusiana na hili janga.
 
kwa sababu ya unafik wako. haunijui. ninaweza kuwa na nia ya kuja kuwasidia watu wa Tabora maana nimeambiwa mji huo una kasumba. kati ya watu kumi, 6 ni wehu na mandondocha.
kwa hivo mzee baba, take your time____
Hey Lewis, are you a Tanzanian by any chance?
 
kwa sababu ya unafik wako. haunijui. ninaweza kuwa na nia ya kuja kuwasidia watu wa Tabora maana nimeambiwa mji huo una kasumba. kati ya watu kumi, 6 ni wehu na mandondocha.
kwa hivo mzee baba, take your time____
punguza jazba buda.

btw huo msaada ni bora ungeanza kwanza kuutowa kwa jamaa zako wakenya hapo hapo ulipo mda huu.

tafiti inaonyesha, nationwide katika kila wakenya wanne, mmoja ni chizi,kichaa,hana akili sawa sawa.

IMG_20180907_145803.jpg
IMG_20180907_145744.jpg
 
Kiswahili wamejifunzia humu jamvini walikua wanaandika vitu vya ajabu sana hapo awali
Thats exactly my point Tuusan... kwa kuona hilo, you have proven kwamba hata kama kielimu tuko nyuma kama nchi mpaka sasa hivi, akili ni kitu ambacho kila binadamu amezawadiwa na Mungu... na ni very powerful.. vito wangu ni sisi kama Watanzania kubadilisha mindset kikamilifu kwa maendeleo yetu sisi wenyewe..Ofcourse hatujakosea kila sehemu, lakini kwenye upungufu tukubali na tuende na spidi ya dunia ya karne hii..

Mpaka leo idadi kubwa sana ya makanda fulani fulani hawataki kukosolewa pale wanapo tamka 'L' kuwa 'R' na vice versa.. na wanajua hilo, basi tu ni ubishi fulani hivi.. hii ni mfano mdogo tu..

Nimefurahishwa na swahili chake, kwani humu jamvini tu ame-pick style yetu.. na sisi tunaweza songa mbele sana kama nchi pale tulipokwama... it's all in the mindset..

Watu wengi watani elewa vibaya pengine, lakini tumebarikiwa na uwingi wa rasilimali ya ajabu kabisa... kusonga mbele kwenye karne hii, lazima tuambiane ukweli panapo stahili.. mabadiliko huwa una anza na vitu vidogo vidogo, kwa hiyo this was just a small example...

I'm open to criticism 24/7...
 
kuna aina nyingi ya Mental Disorders... ila wale wa Tabora wametia fora 😀😀😀 hakuna County yoyote Kenya inayojulikana kwa vichaa na wendawazimu. Tabora iko on another level
mimi nakuwekea vielelezo wewe unapiga porojo.

ila acha nikusamehe tu cos i'm arguing with a person who belongs to the category of "1 in the 4".
wahi mathari hospital msee.
 
Back
Top Bottom