kuna picha nilipiga mitaa ya isevya, mwanza road, kiloleni, chemchem, kitete, ali hassan mwinyi, nitazirusha soon uone mkuu, sio kama natania,
ok, alioa Mombasa na sio bongo....hajaoa kenya, ali ameoa mombasa.
tangu lini kenya imewahi kuwa na wanawake warembo au wanawake wa kuoa?.![]()
![]()
itapendeeza sana.kuna picha nilipiga mitaa ya isevya, mwanza road, kiloleni, chemchem, kitete, ali hassan mwinyi, nitazirusha soon uone mkuu, sio kama natania,
Unaexpect aje Americans wachear diamond akiimba bongomaybe you missed this, so let me repost it.
Kenyan Musicians are talented my friend. Diamond hawezi fikia huyu.
Just like Tanzanians have Diamond, we have Stella Mwangi who is quite a big deal.
She is an international rapper who, on my opinion she's pretty much made it. Here's why I think so.
She performs in super super big stages with big rappers or just her own shows.
She does the theme songs for big Hollywood movies like:
Bad Moms,
Ballers,
Basketball Wives,
Fox Tv's Rosewood,
big brands like
Samsung,
Tommy Hilfinger
Reebok
Just to name a few...
View attachment 857252View attachment 857253View attachment 857254View attachment 857255View attachment 857256View attachment 857257
View attachment 857259
Hang on there, Look who gave her a shout out on her rapping skills... Non other than Dwayne Johnson - The Rock.
View attachment 857260
Look at how wild the crowds go on her performances
View attachment 857262View attachment 857261
By the way watu huskia Bongo kenya its either ni wacoast ama washamba wa meru, the rest ni Reggae/dancehall/hiphop.Si kila mtu huskiza Bongo.
Kenya kuna varieties..dancehall hupendelewa sana
before saying whatever you said, you could have shown Kenyatta's
How old are you really... Making points like a kid 😂😂😂acha nifurahishe ego yako ili tufunge huu mjadala.
..kenya inaongoza kwa mziki EA.
..video za wanamziki wa kenya ndio zinaongoza kwa views youtube.
..wanamziki wa kenya ndio wanaongoza kufanya music tour hapa tz, nje ya EA na Africa kwa ujumla.
..wanamziki wa kenya wanaongoza kwa ku generate revenue kuliko wanamziki wa tz.
..diamond platnumz ni mkenya
..wasafi tv inamilikiwa na mkenya
..ali kiba ni mkenya aliyezamia tz
..wanamziki wengi kenya "wanaombwa" na wanamziki wa kitz kufanya music collabos.
..matamsha mengi makubwa ya mziki hapo kenya huwatumia wanamziki wa kikenya pekee bila kuchanganya wanamziki toka tz.
..mziki wa kikenya ni mtamu sana,sexy and romantic kuliko mziki wa tz.
hope nafsi yako imeridhika sasa.
case closed.
Finally kuna mtu amabye anaelewa mambo na perspective.Yeah naamini sana, bongo tumekuwa sana na nyimbo za mapenzi, lakini pia vionjo vyetu havijakaa ki proffessional sana, from my own perspective though!
Achana na huyu, its as if Diamond na alikiba wamekuwa kwa industry tangu 1940How old are you really... Making points like a kid![]()
apart from useless bongo music what else can Tz produce.your artistes including that love of yours called diamond cannot compose anything lyrically good that can be used in a musical. listen to these:kwa EA especially kenya bongofleva is unavoidable, whether you like it or not.
kama hutoisikiliza kwa simu yako, utaisikiliza kwa fm radio.
kama hutoisikiliza kwa fm radio utaisikiliza kwa matatu.
kama hutoisikiliza kwa matatu utaisikiliza kwa club, bar au pub.
kama hutoisikiliza kwa club, bar au pub utaisikikiza kwa keja ya neighbor next door.
bongofleva tibiim![]()
kuna picha nilipiga mitaa ya isevya, mwanza road, kiloleni, chemchem, kitete, ali hassan mwinyi, nitazirusha soon uone mkuu, sio kama natania,
Achana na huyu, its as if Diamond na alikiba wamekuwa kwa industry tangu 1940![]()
![]()
![]()
![]()
apart from useless bongo music what else can Tz produce.