Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

karibu sana ukajionee maajabu ya dola kuu, wakati wote ni kama hamna vyombo vya usalama na ukiviona utawatambua kwa uniform tu ni mara chache kuwaona wakiwa na silaha labda kwenye kazi maalumu, lakini usithubutu kuleta ukora kama mlivyozoea kwenu "yatakupata yaliyompata nyang,au mwenzenu"

Utamfanya aahirishe maana tunajua anakuja kufanya nini.

Kuna yule mwenzao alisema anakuja kutembea dsm,sijui kalowea huku ama!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karibu sana ukajionee maajabu ya dola kuu, wakati wote ni kama hamna vyombo vya usalama na ukiviona utawatambua kwa uniform tu ni mara chache kuwaona wakiwa na silaha labda kwenye kazi maalumu, lakini usithubutu kuleta ukora kama mlivyozoea kwenu "yatakupata yaliyompata nyang,au mwenzenu"
Speaking of dola kuu, did you know that you guys are currently the third weakest currency in Africa! Yani currency ya Somalia(failed state) iko juu kuliko ya Tz(LDC)
my ribs
On the other hand, the Kenyan currency emarges the strongest & stablest in EAC! Tanzania mlilaaniwa nyinyi.View attachment 857355
1000_tz_shillings_front.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Another coming soon.

Other projects taken up by Chinese firms include a 30 kilometre expressway from the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) to Westlands, Modogashe-Habaswein-Samatar and Elwak-Rhamu roads in North Eastern at a cost of Sh15 billion and development of Dongo Kundu Special Economic Zone in Mombasa.View attachment 857344

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Bongo by Dec BRT Phase 3 itajengwa anzia city centre nyerere road kupita airport hadi gongolamboto...
Kama kawaida yenu wazee wa highway alafu badae muje muanze kutaman brt, uzuri tazara flyover is now complete kwahyo ni full kuteleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Speaking of dola kuu, did you know that you guys are currently the third weakest currency in Africa! Yani currency ya Somalia(failed state) iko juu kuliko ya Tz(LDC)
my ribs
On the other hand, the Kenyan currency emarges the strongest & stablest in EAC! Tanzania mlilaaniwa nyinyi.View attachment 857355View attachment 857356

Sent using Jamii Forums mobile app
Too young to understand things, check Chinese currency and the rest of the world, compare and work it out you idiot!
 
Speaking of dola kuu, did you know that you guys are currently the third weakest currency in Africa! Yani currency ya Somalia(failed state) iko juu kuliko ya Tz(LDC)
my ribs
On the other hand, the Kenyan currency emarges the strongest & stablest in EAC! Tanzania mlilaaniwa nyinyi.View attachment 857355View attachment 857356

Sent using Jamii Forums mobile app
Do you know than Chinese Yen is among the weakest currency in the World?. Toa ujinga wako wa Kikuyu humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Projects zinazoendelea Tanzania gharama yake ni sawa na projects zote za other East African countries combined, kama unabisha lete tupambanishe

Sent using Jamii Forums mobile app
my goodness!! Yani kitu obvious kama kujua kenya ndio inaongoza kwa projects East & Central Africa pia imekushinda.

Kenya had the highest number of mega infrastructure projects in East Africa in 2016, Deloitte has said, noting it helped the country to maintain its lead as the regional powerhouse.
There were 11 ongoing projects valued at $7.01 billion (Sh727.98 billion) in the country last year, the consultancy firm said in the 2016 Africa Construction Trends Report.
The top projects comprised both public and private investments such as the standard gauge railway, the Lamu port berths and the Lake Turkana Wind Power Project.
“Lake Turkana Wind Power Project is the single largest private sector investment in Kenya’s history. Once completed, it will provide 310 megawatts of power to the grid, approximately 18 per cent of Kenya’s installed capacity,” the firm stated.
Kenya was followed by Ethiopia and Uganda, each with nine projects, and Tanzania with eight.
In total, East Africa had 43 projects valued at $27.4 billion (Sh2.84 trillion) spread across Burundi, Comoros, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Seychelles, Somalia, Tanzania and Uganda.
These translated into 15 per cent of the 286 development projects – valued at $50 million (Sh5.91 billion) and above – that had broken ground across Africa by June 1 last year.
The report says the transport sector accounted for the largest share of projects in East Africa last year, with 15 road and bridge projects.

Wewe tatizo lako unasomaagazeti ya Kenya akili zao ni sawa na wewe, lete source ya hii habari kama sio gazeti la wakikuyu.

Pili hatuzungimzii idadi projects badala yake tunazungumzia thamani ya projects zenyewe, nchi inaweza kuwa na projects nyingi lakini ni projects ndogondogo kama ilivyo Kenya.

Ninaridia kwamba, thamani ya projects za Tanzania (Sio idadi ya projects) ni kubwa kuliko thamani ya projects zote za the remaining Other East African countries, kumbuka kwamba Tanzania inapata 60% ya total FDI ya EAC.

Ili kuthibitisha hili, wowo horodhesha projects zote za Kenya, Uganda, RW, SS na Burundi na thamani zake interms of $, tulinganishe na Tanzania. Mimi ninaanza na
1) Uganda TANGA pipeline. $2B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pwahahahahahahaahahahahahahahaha buda wacha kujiaibisha bure. Aty Chinese yen! We ulienda shule gani!? Yen ni ya Japan ya China ni Renminbi! Enda class ndio ukuje kubishana na mimi. Shienzy

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kumaanisha Japanese Yen, ila ukweli ndio huo, huna akili yoyote kuhusu uchumi kama unachukulia strength ya currency ya nchi na uimara wa Uchumi, unajua Zambian Kwacha ilivyo strong?. Toa ujinga wako peleka kwa wakikuyu wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom