Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

28145969328_7ec835034d_b.jpg


NGANYA

DEch9yqV0AMwTKR.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Oii
mbona mmecopy logo?
trl.jpg
Umeona hiyo logo imesema Tanzania railways Limited? Hilo shirika wezi walijiuzia na kuliita hivyo lakini zamani lilikuwa linaitwa TRC na lilikuwa na mfuto wa machungwa na udongo.
 
mbona mmecopy logo?
trl.jpg

nadhani kwa issue ya logo na rangi ya tanzania railway cooperation umeshafanuliwa vizuri na umeelewa kuwa hiyo rangi ndio ilikuwa inatumika tangu enzi za nyerere.hatuja copy toka kwenye sgr yenu.

sasa tuje kwenye issue nyingine inayohusu application ya jamiiforum na application ya ile forum yenu ya kenya(i can't mention it here because for some reasons, jf admin doesn't allow it). at the end we will know who copies who.

jamiiforum published its application in year 2012 and your kenyan forum published its application in year 2018.
Screenshot_2018-09-06-20-19-29-866_com.android.vending.jpg

Point%20Blur_Sep062018_201650.jpg


tukija kwenye interface, developer wa application ya forum ya kenya ameiga kila kitu toka kwenye application ya jamiiforum.

you can't even differentiate the interface of kenya forum with the interface of jamiiforum. everything look the same. copy and paste at its best.

this is me when i'm in jamiiforum via the app.
Screenshot_2018-09-06-19-47-09-237_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg

Screenshot_2018-09-06-19-48-43-400_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg


and this is me when i'm in that kenya forum via its app.
Point%20Blur_Sep062018_195024.jpg

Point%20Blur_Sep062018_194958.jpg


hope umejionea vile wakenya mnavyo copy toka kwa watz.
case closed.
 
Back
Top Bottom