Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha is Only recognized as your administration Center nothing else infact it is your capital & can you Compare it to Nairobi?? Hell no...Mombasa?? Hell no....Kisumu?? dont even think about it....Nakuru?? Far much Developed....Eldoret??...my be yes may be Not....Kakamega??...yuh Comparable
Arusha siyo Capital ya Tz ni Capital City ya EAC. Seriously umenishangaza una ezaje kuwa humu halafu hujui Capital city ya nchi jirani yako. Je uki ulizwa Capital city ya Guinea si utakimbia mbio
 
Arusha siyo Capital ya Tz ni Capital City ya EAC. Seriously umenishangaza una ezaje kuwa humu halafu hujui Capital city ya nchi jirani yako. Je uki ulizwa Capital city ya Guinea si utakimbia mbio
Nafikiri unamaanisha HEADQUARTERS not capital city. Ama vipi?
 
Arusha siyo Capital ya Tz ni Capital City ya EAC. Seriously umenishangaza una ezaje kuwa humu halafu hujui Capital city ya nchi jirani yako. Je uki ulizwa Capital city ya Guinea si utakimbia mbio
Sio hoja yeye au mkenya yeyote for that matter kutojua capital yenu ni gani coz we really dont care about what's happening down therevin danganyika. Huenda hata mimi sijui so usishangae sana. My point is, sisi hatufatii masuala ya TZ jinsi nyinyi mnavofanya kuhusu kenya coz hakuna kitu chochote tunajifunza kutoka kwenu. Juzi tu nilishangaa hap JF wengi wenu mnajua magavana wa Kenya kwa majina nayo huku mimi hapa hata vice president wenu siju jina yake. Baadhi wenu mnajua hadi deputy governors wetu by name.That's how trolling you people are!
 
Eldoret has two big malls, it is not a city, Nanyuki has a mall, it is not a city, Naivasha has a mall yet it is not a city, Kitale has a mall yet it is not a city, Kericho has a mall, it is not a city, Nakuru has a mall it is not a city etc etc...nyinyi endeleni kupandisha glorifued villages zenu hadhi ziwe "cities" based on population as the only parameter. If Kenya was to do the same we could be having not less than 15 cities.
Mall is just a collection of shops. Such kind of shops are available everywhere here in Tanzania. Nothing special
 
Sio hoja yeye au mkenya yeyote for that matter kutojua capital yenu ni gani coz we really dont care about what's happening down therevin danganyika. Huenda hata mimi sijui so usishangae sana. My point is, sisi hatufatii masuala ya TZ jinsi nyinyi mnavofanya kuhusu kenya coz hakuna kitu chochote tunajifunza kutoka kwenu. Juzi tu nilishangaa hap JF wengi wenu mnajua magavana wa Kenya kwa majina nayo huku mimi hapa hata vice president wenu siju jina yake. Baadhi wenu mnajua hadi deputy governors wetu by name.That's how trolling you people are!
Duuh! Its either you are stupid or playing stupid. Mimi nimekaa na wakenya na nimesoma nao, Kenyans mpo informed sana kuhusu ishu za East Africa. So usi ingize wakenya wote kwenye ishu ya mkenya mmoja. Jamaa ameyumba sana na wewe kumtetea una zidi kumyumbisha. Hizo story za kutokufuatilia habari zetu ni zilipendwa, Una niambia mimi wakati ukweli unajulikana.

Siyo kitu cha kujivunia kuwa mjinga. Acha upumbavu kwa kukataa ujinga.
 
Kuhusu vigezo vya jiji kila nchi ina sheria zake, ila nacho jua mimi sheria za nchi za E.A hazipishani sana kwenye hiyo ishu. Tuna eza tukatafuta Acts tukaziweka hapa kwa mjadala wenye afya zaidi.
 
Duuh! Its either you are stupid or playing stupid. Mimi nimekaa na wakenya na nimesoma nao, Kenyans mpo informed sana kuhusu ishu za East Africa. So usi ingize wakenya wote kwenye ishu ya mkenya mmoja. Jamaa ameyumba sana na wewe kumtetea una zidi kumyumbisha. Hizo story za kutokufuatilia habari zetu ni zilipendwa, Una niambia mimi wakati ukweli unajulikana.

Siyo kitu cha kujivunia kuwa mjinga. Acha upumbavu kwa kukataa ujinga.
huyo ni wakumuonea huruma sana😀😀😀
 
heheheh watu wamepiga pesa zimebaki spare parts😀😀😀😀😀😀😀

Mlivyo kuwa mnasema vigezo vya Kenya nikahisi itakua tabu, sasa kwa vigezo hivi ata Iringa inaeza ikawa Jiji Kenya. Hiyo hapo urban areas and cities act, siyo mnapiga porojo tu humu
Screenshot_2018-07-18-14-27-19.jpg

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu weka utani pembeni, hakuna mji unapewa hadhi ya jiji kwa kigezo cha wingi wa watu pekee, vigezo ni vilevile ulivyofunzwa shuleni...utofaut huja tu pale tu unapoweka mji A Na B kwa kuangalia utofaut wa miji husika

Mfano hai. ..nbo ni jiji pia Dubai nalo ni jiji lakini je NBO ukiweka na Dubai je huoni Nbo itaonekana Ni glorified village??
Mji huo hauna vitu vingi sana ambavyo utavikuta Dubai hivyo basi naamini umeelewa!!
Mbona hungelinganisha Nairobi na Dar es salaam. Au ni kwa sababu unajua vizuri kwamba Nai imeendelea kushinda Dar
 
Nimezaliwa Arusha Tanzania Baadhi ya Elimu yangu nimesomea Tanzania kidogo na Kenya zaidi (nitazitaja shule masomo, na baadhi ya classmates ikinibidi)

Leo miaka kadhaa baada ya kumaliza masomo yangu nipo nafanya kazi Uganda (nitataja eneo baadaye)

sina cha kujielezea sana ila naifahamu Kenya kwa ukubwa sana. Napafahamu Uganda pia japo sio sana na Tanzania ndio nyumbani mpaka leo.

Nazungumza Kiswahili safi na Kingereza vizuri sana Kiganda bado kinanisumbua ingawa mtu akizungumza naelewa anachomaanisha labda matamshi katika kujibu bado sijayazingatia vizuri.

Nataka kuandika ukweli kuhusu mjadala huu wa Dar es salaam na Nairobi kutoka moyoni na uzoefu wa kuishi maeneo haya sina haja ya kutuma picha au kuegemea upande niliozaliwa nataka kusema kwa faida ya wasomaji wote kwa nilichoona na rejeo kutoka katika maandishi nakala na majarida kadhaaa.

Najua siwezi kumaliza mjadala huu na siwezi kukubalika na wote kwa nitakachosema hizo ni changamoto tu ila najua nitakachokiandika kitakuja kusomwa hata baadaye sana na kueleweka na wengine baadaye.

Nitaanza kuelezea uimara wa Tanzania na Dar es salaam

Halafu nitaelezea uimara wa Kenya na Nairobi

Baadaye nitaelezea udhaifu na ubovu wa maeneo yote mawili

Mwisho nitavunja kwa Hitimisho Zito sana litakaloeleweka na wachache sana.

Nitaanza muda si mrefu na Pia sitajibu swali lolote(labda ikinibidi sana) mpaka mwisho wa maelezo yangu.
 
Wewe ni Ngombe ya wapi sasa? Karudi zizini!

Maisha yatakuaje matamu kwenu? Nakuambia wale wanaoishi slums zetu wakija TZ automatically wanaingia kikundi cha middle class ndugu.

Kisha nenda kadanganye watoto wajinga wenzako eti kwenu Hakuna vibanda. Ukitaka picha sema na utapewa. Shoga wewe
weka picha...
 
Maisha yangekuwa mazuri TZ basi wale omba omba wenu hawangetujazia barabara za mitaa na miji zetu na bakuli mikononi wakiomba pesa. Siku hizi wametapakaa kila mahali, sio Nairobi pekee
si muwarudishe kwao???omba omba anapata vipi kibali cha kuishi nchi nyingine??otherwise, hao wanaweza wasiwe watz..
 
Ni mburukenge. Wewe ni Mtanzania feki kama hujui kiswahili.
hahaaa jamaa unanifundisha mimi kiswahili????? nimezaliwa nacho,nimekua nacho,nimesoma nacho,nimekitumia zaidi ya miaka 30 kama lugha yangu kuu ya mawasiliano...!!huku bongo kiswahili kinakua haraka sana,kila siku unazaliwa misemo na maneno mpya,na hiyo ndo tabia ya lugha yoyote duniani!!
ukitukuta chimbo na wanangu tunakula bata au stori unaweza usielewe kitu tunachozungumzia..
 
Back
Top Bottom