ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
huyo ni mkenya mwenzenu nimeona video zake nyingi tu hehehhehe na kama unabisha sema nikuletee ushahidi😀😀😀😀😀😀😀
huyo ni mkenya mwenzenu nimeona video zake nyingi tu hehehhehe na kama unabisha sema nikuletee ushahidi😀😀😀😀😀😀😀
HOSPITALI YA KISASA YA KISUMU, HAHAHAHA mbavu zangu mim!knock out unataka kushindsna na arusha kwa hospital hii😀😀😀😀😀 kisumu
View attachment 812274 View attachment 812275
hehhehe kisumu haitakua city mpaka yesu ashuke my friend jamaa jana nimemtoa kamasi hakurudi tena 😀Arusha si jiji hio ni Town infact hata Malindi imeishinda by far
wanataka kushindana na arusha wallah mm nakwambia nikiweka zile evidence za kua city moshi inaitoa kisumu 10 kwa 0HOSPITALI YA KISASA YA KISUMU, HAHAHAHA mbavu zangu mim!
malindi ni upuuzi gani hio naipa pemba tu ipambane nae alaf tuone kama utatoka humu😀😀😀😀Arusha si jiji hio ni Town infact hata Malindi imeishinda by far
hehehhe jana nimecheka sana kuna mpuuzi mmoja alizungumza sana kumbe anachokizungumza ni nonsense tupu hajui kama population is one of the main factor yeye alijua ni mall na flyover basi kamaliza hajui kuna health issue ni kitu muhimu hajui kuna industries, 😀😀HOSPITALI YA KISASA YA KISUMU, HAHAHAHA mbavu zangu mim!
sisi sio mabulunyenye kama nyie,sisi tunajenga kitu kulingana na mahitaji!!Yania mnajenga the 1st flyover in Dar na mnaona mshatushinda kwa road infrastructure![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli Bongolala ni Bongolala hii ni ugonjwa aki
hehhehe hilo halijui alaf hajui barabara zinazozunguka jiji la dar in km ni mara tatu ya nairobi 😀😀😀sisi sio mabulunyenye kama nyie,sisi tunajenga kitu kulingana na mahitaji!!
Propaganda za CCM mliotiwa vichwani na Nyerere miaka za kale hazijawatoka akili hadi leo! Licha ya hayo yote, mbona jko na uchumi kubwa kuwaliko?bongolala ni wakenya mnaoishi katika slums (THE BIGGESST SLUMS IN AFRICA AND IN THE WORLD) huku watu wachache sana pungufu ya asilimia kumi wana milki ardhi yote yenye rutuba na uchumi wa kenya, ENDELEENI KUWASINDIKIZA KENYATA NA WAZUNGU WACHACHE KATIKA MAENDELEO.
Haha yaani watu wanaokaliwa nchi yao wanapata nguvu ya kupiga vifua hapa. DICKtatorship cannot be tolerated in Kenya View attachment 812255
wasikilize namibia hao 😀😀😀😀Arusha si jiji hio ni Town infact hata Malindi imeishinda by far
hehhe sasa umehamisha hasira kwa CCM hehehPropaganda za CCM mliotiwa vichwani na Nyerere miaka za kale hazijawatoka akili hadi leo! Licha ya hayo yote, mbona jko na uchumi kubwa kuwaliko?
Aah wewe huwezi kanieleza chochote. Mmekaliwa. Niliskia alisema ataongoza milele?wasikilize namibia hao 😀😀😀😀


na ndo maana mnalilia EAC ifungue mipaka muwe mnakuja bongo free!!!ndio,maisha ya tz ni mazuri sana,huwezi kukuta mtu anaishi kwenye mabanda,hayo mabanda huku tunafugia nguruwe by the way,amini nakwambia hata wewe ukiamua kutoka hapo kayole slums na kuja huku bongo,maisha yako yatabadilika!!lakini ukiendelea kusota hapo nairobi,u won't taste how a good life is,utaishi kwa shida hadi yesu arudi,Nairobi ina wenyewe...!not inclusive at all,what a fucking city!!Hao wanaoishi slums wakija TZ automatically wanaingia kikundi cha middle class![]()
a single person owns a land that could be enough for a quarter population of whole country..!!arable land owned by white settlers,then,they grows the flowers,meanwhile the northern Kenyans die hungry..![]()
![]()
![]()
![]()
Hivyo ndivio mnajidanganya nyinyi...woi mnashida nyinyi Kenya hakuna Ujamaa buda kile mtu kivyake kenya yetu wote
imgine anaona fahari kuishi kibera na anatamba😀😀😀😀.muangalie sana hawa watu mnaobishana nao humu.na ndo maana mnalilia EAC ifungue mipaka muwe mnakuja bongo free!!!ndio,maisha ya tz ni mazuri sana,huwezi kukuta mtu anaishi kwenye mabanda,hayo mabanda huku tunafugia nguruwe by the way,amini nakwambia hata wewe ukiamua kutoka hapo kayole slums na kuja huku bongo,maisha yako yatabadilika!!lakini ukiendelea kusota hapo nairobi,u won't taste how a good life is,utaishi kwa shida hadi yesu arudi,Nairobi ina wenyewe...!not inclusive at all,what a fucking city!!
Wewe ni Ngombe ya wapi sasa? Karudi zizini!na ndo maana mnalilia EAC ifungue mipaka muwe mnakuja bongo free!!!ndio,maisha ya tz ni mazuri sana,huwezi kukuta mtu anaishi kwenye mabanda,hayo mabanda huku tunafugia nguruwe by the way,amini nakwambia hata wewe ukiamua kutoka hapo kayole slums na kuja huku bongo,maisha yako yatabadilika!!lakini ukiendelea kusota hapo nairobi,u won't taste how a good life is,utaishi kwa shida hadi yesu arudi,Nairobi ina wenyewe...!not inclusive at all,what a fucking city!!
ni lini alisema atatawala milele wewe kunguru.embu kasikilize ukiwa umekula.Aah wewe huwezi kanieleza chochote. Mmekaliwa. Niliskia alisema ataongoza milele?
Basi your fate as Tanzania is sealed. You will never be a progressive society. Mtakua kama Cameroon na president Biya
Ogopa sana ndugu. Dalili ya mvua ni mawinguni lini alisema atatawala milele wewe kunguru.embu kasikilize ukiwa umekula.