Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi Nilidhani mlisema hamna debt. Eti nyinyi ni watu wa kujitegemea. Mbona nawaona hapo?

At least Kenya we have tangible things to show for that debt amount. What about TZ?

Explain to me like you would to an aging grandma
tulikwambia kenya debt to GDP ratio is 60%
tanzania debt to GDP ratio is 32% hehheheh

wewe umekuja juzi tu hujui huu mjadala ulianza wapi kenge wewe😀😀
 
simba mwenye njaa😀😀😀😀

CFDAEB1A-562A-44EC-B156-0B2BF56FC8CF.jpeg
 
tulikwambia kenya debt to GDP ratio is 60%
tanzania debt to GDP ratio is 32% hehheheh

wewe umekuja juzi tu hujui huu mjadala ulianza wapi kenge wewe😀😀
Na tukakuambia we are well within the limit of 74%

Na tukitaka kupitisha past hiyo 74% we can. Because this is Kenya. Not just another African country like TZ or Burundi.

Tukitaka pia tutapitisha ata past 100%

Tulia. Pesa ni sisi tutailipa. Sio nyinyi
 
Nyinyi Nilidhani mlisema hamna debt. Eti nyinyi ni watu wa kujitegemea. Mbona nawaona hapo?

At least Kenya we have tangible things to show for that debt amount. What about TZ?

Explain to me like you would to an aging grandma
kazi yenu ni kunuka madeni tu😀😀😀

Na tukakuambia we are well within the limit of 74%

Na tukitaka kupitisha past hiyo 74% we can. Because this is Kenya. Not just another African country like TZ or Burundi.

Tukitaka pia tutapitisha ata past 100%

Tulia. Pesa ni sisi tutailipa. Sio nyinyi
ukhekhe world bank waliwaonya kua mushafika kwenye red line 😀😀😀😀😀
 
yaani ukiwasikiliza wabongo wanavyo-table issues zao, utadhani ni mijitu mizubezube sijui zoba au zombies kind of. low i.q kind of people with no tangible points. wapo wapo tu kuzindikisha dunia! 😀

Big up Nairobi! Hats off. Africa's Most Intelligent city.
 
Nosey neighbors. That's a bad habit BTW

Alafu wewe mwenyewe ulisema huwezi amini data za World Bank na uko hapa kutuambia ujinga.

Skiza ndugu, tukitaka more loans we will get them. Na tukitaka pia tutapitisha past 100% na hakuna kitu utafanya. You get it?

Yeah
 
acha kulia sasa ww hujui huu mjadal ulianzia wapi na nn walichoongea wenzako ndio maana nakucheka sana
 
yaani ukiwasikiliza wabongo wanavyo-table issues zao, utadhani ni mijitu mizubezube sijui zoba au zombies kind of. low i.q kind of people with no tangible points. wapo wapo tu kuzindikisha dunia! 😀

Big up Nairobi! Hats off. Africa's Most Intelligent city.
Wenye IQ kubwa hua wanabehave you aren't the one!!
 
Back
Top Bottom