Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uchafu Icheoboy analinganisha na hii hapa View attachment 812326 lafu akili ya kuku bado atajaribu kuleta bla bla
😀😀😀😀siku ukipata hospital kubwa kama hii nje ya nairobi nitag plz😀😀😀😀😀
5BF370C7-8FFE-487E-8B56-5263DBD5C995.jpeg
E4D5EB45-31FD-4955-AA61-174A14DE8AD2.jpeg
6FDD25C4-DAA8-4CFA-A8A1-3F6CE5B03430.jpeg
58BDD2E7-2E6B-430A-A96D-28A08C2755D6.jpeg
EF43CE77-74FA-4338-BCD3-690BC46E9A63.jpeg
 
Mwenzio amekuwekea picha nzito nzito za Kisumu ,hata picha za night sky (usiku) ,lakini wewe kwa sababu ya shida fulani ya ubongo, una ignore hizo picha. Unajifanya hujaziona. Halafu unapost picha ambazo wewe mwenyewe ungependa kuziona. Eti picha za Kisumu ambazo wewe ungependa kuona ni zile za bodaboda pekee. Haya basi baki hapo na fikira zako. Ukionesha mtu ukweli lakini mtu huyo akatae kukusikiliza, basi huna budi ila kumpa kisogo na kuenda zako. Wewe umeona ukweli lakini umekataa kupevuka.
ameniekea picha upuuzi mtupu bahat nzuri mm hawez nidanganya kuhusu kisumu naijua vzr sana ndio maana nikakwambi kisum haina hadhi ya kuitwa city bado sana yani mufanye kazi ya ziada
 
The last time I checked, Kisumu has a bigger population than any of your "cities" ie Mbeya, iringa, Tanga and even Arusha. On matters education, Kisumu has campuses of all virtually universities in Kenta. The university if Nairobi just built their own tower in central Kusumu, a seven-storey building that they intent to upgrade to 17 floors. I doubt if Iringa and Mbeya have even a teachers college, let aloneva university. On matters infrastructure, hapo hata tusiende coz we've shared si many pictures of Kisumu roads here. I am yet to see such roads in mbeya or tanga being posted here. Kisumu has an international airports (Obama flew directly to Kisumu) while your "cities" of Mbeya and Tanga still have airstrips. naweza endelea zaidi, wacha nikome hapo kwa sasa
Kisumu vs Arusha
Vyuo vikuu utavovipata Arusha
1.Makumira university
2.Nelson mandela university
3.Arusha university
4.Mt Meru university
Colleges/institute...
1.Arusha technical college
2.Arusha institute of accountancy
3.Tengeru college of agriculture
4.Udsm branch collage of it
5.Arusha school of journalism
 
Kisumu vs Arusha
Vyuo vikuu utavovipata Arusha
1.Makumira university
2.Nelson mandela university
3.Arusha university
4.Mt Meru university
Colleges/institute...
1.Arusha technical college
2.Arusha institute of accountancy
3.Tengeru college of agriculture
4.Udsm branch collage of it
5.Arusha school of journalism
yani kisumu kuifikia arusha ni sawa na kukimbiza upepo hehehehhe😀😀😀😀
 
Eldoret has two big malls, it is not a city, Nanyuki has a mall, it is not a city, Naivasha has a mall yet it is not a city, Kitale has a mall yet it is not a city, Kericho has a mall, it is not a city, Nakuru has a mall it is not a city etc etc...nyinyi endeleni kupandisha glorifued villages zenu hadhi ziwe "cities" based on population as the only parameter. If Kenya was to do the same we could be having not less than 15 cities.
Mkuu weka utani pembeni, hakuna mji unapewa hadhi ya jiji kwa kigezo cha wingi wa watu pekee, vigezo ni vilevile ulivyofunzwa shuleni...utofaut huja tu pale tu unapoweka mji A Na B kwa kuangalia utofaut wa miji husika

Mfano hai. ..nbo ni jiji pia Dubai nalo ni jiji lakini je NBO ukiweka na Dubai je huoni Nbo itaonekana Ni glorified village??
Mji huo hauna vitu vingi sana ambavyo utavikuta Dubai hivyo basi naamini umeelewa!!
 
Kisumu vs Arusha
Vyuo vikuu utavovipata Arusha
1.Makumira university
2.Nelson mandela university
3.Arusha university
4.Mt Meru university
Colleges/institute...
1.Arusha technical college
2.Arusha institute of accountancy
3.Tengeru college of agriculture
4.Udsm branch collage of it
5.Arusha school of journalism
Hehehe....number mtasoma yani. Below is a link mentioning all the universities and technical colleges in kisumu. Zaweza fika 30. Toa kamasi sasa.
 
Mkuu weka utani pembeni, hakuna mji unapewa hadhi ya jiji kwa kigezo cha wingi wa watu pekee, vigezo ni vilevile ulivyofunzwa shuleni...utofaut huja tu pale tu unapoweka mji A Na B kwa kuangalia utofaut wa miji husika

Mfano hai. ..nbo ni jiji pia Dubai nalo ni jiji lakini je NBO ukiweka na Dubai je huoni Nbo itaonekana Ni glorified village??
Mji huo hauna vitu vingi sana ambavyo utavikuta Dubai hivyo basi naamini umeelewa!!
Nimekuelewa kabisa mkuu na asante kwa hoja yako. Just the same way Dubai huwezi linganisha na Nairobi is the same way Mbeya huwezi linganisha na Kanuru au Eldoret (which arw not cities in Kenya).Hata kule UAE kuna miji kadhaa ambazo ni kubwa tena yameendelea kushinda nairobi ila siyo cities....My point is, Mbeya is a city according to Tanzanian standars while Nakuru and Eldoret aren't according to our standards. Just the same way kule UAE and America kuna mji mkubwa tena imeendelea kushinda nairobi au Dar but sio cities because according to their standards such cities (th ones ib US and UAE) are not good enough to be called cities. Different countries have different standards so standard yenu iko nyuma compared na yetu.
 
Back
Top Bottom