Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Actually this is how Nairobi is ahead of East African Cities
The funny thing is that mnaringa na Mtu wa Kenyahuyo ni miongoni mwa wakenya vilaza sana wenye hasira kali sana😀😀😀😀

Hapo nyuma ya haya majengo
Bagamoyo since 2015 😀😀😀hakuna mtanzania anaeona unyanyasaji tena tunafurahia kuona CCM leo inaheshima africa mpaka duniani na inatuletea maendeleo kulingana na wakati na imedumisha amani na kuondoa ukabila.... nakupenda CCM
Maisha yangekuwa mazuri TZ basi wale omba omba wenu hawangetujazia barabara za mitaa na miji zetu na bakuli mikononi wakiomba pesa. Siku hizi wametapakaa kila mahali, sio Nairobi pekeena ndo maana mnalilia EAC ifungue mipaka muwe mnakuja bongo free!!!ndio,maisha ya tz ni mazuri sana,huwezi kukuta mtu anaishi kwenye mabanda,hayo mabanda huku tunafugia nguruwe by the way,amini nakwambia hata wewe ukiamua kutoka hapo kayole slums na kuja huku bongo,maisha yako yatabadilika!!lakini ukiendelea kusota hapo nairobi,u won't taste how a good life is,utaishi kwa shida hadi yesu arudi,Nairobi ina wenyewe...!not inclusive at all,what a fucking city!!
Mpe za uso uyu mwenye akili za kuku😀😱😱😱😀😀Matofali *****, ivo ndio ccm inawalisha propaganda tangu 60s😀😀We nani alkuambia hio ni matofali![]()
![]()
hebu angalia vizuri tena.....and i think you need to visit Nairobi ndio ujue maana ya DevelopmentView attachment 812027View attachment 812028View attachment 812029
😀😀😀😀😀😀😀 Ndio maaana ariel photos are prohibited in Tanzania.Hapo nyuma ya haya majengoView attachment 812328
halafu ukitajiwa brt hapa utadhani ni kitu ya maana sana...kumbe jina tu. Brt ya kupeleka watu kwenye changaduo, aka dream houses. Ona vile hiyo sehemu ilivyo pabaya
Maisha yangekuwa mazuri TZ basi wale omba omba wenu hawangetujazia barabara za mitaa na miji zetu na bakuli mikononi wakiomba pesa. Siku hizi wametapakaa kila mahali, sio Nairobi pekee[/QUO
Ombaomba wa Tanzania wanafanya nini KENYA? kenya ni shamba la bibi? Kama ni watanzania wapelekeni ubalozi wa TANZANIA, NINACHOFAHAMU HAO NI SEHEMU YA WAKENYA MASIKINI SANA WALE WA KIBERA
Hizo naskia kule Dar zinaitwa SUBURBS sio slums wala informal settlementshalafu ukitajiwa brt hapa utadhani ni kitu ya maana sana...kumbe jina tu. Brt ya kupeleka watu kwenye changaduo, aka dream houses. Ona vile hiyo sehemu ilivyo pabaya

Mwenzio amekuwekea picha nzito nzito za Kisumu ,hata picha za night sky (usiku) ,lakini wewe kwa sababu ya shida fulani ya ubongo, una ignore hizo picha. Unajifanya hujaziona. Halafu unapost picha ambazo wewe mwenyewe ungependa kuziona. Eti picha za Kisumu ambazo wewe ungependa kuona ni zile za bodaboda pekee. Haya basi baki hapo na fikira zako. Ukionesha mtu ukweli lakini mtu huyo akatae kukusikiliza, basi huna budi ila kumpa kisogo na kuenda zako. Wewe umeona ukweli lakini umekataa kupevuka.
Ni mburukenge. Wewe ni Mtanzania feki kama hujui kiswahili.sisi sio mabulunyenye kama nyie,sisi tunajenga kitu kulingana na mahitaji!!
a single person owns a land that could be enough for a quarter population of whole country..!!arable land owned by white settlers,then,they grows the flowers,meanwhile the northern Kenyans die hungry..
One hell of a crap story infact In the whole of Western Kenya & Nothern Rift valley Hakuna Shamba ya Uhuru,Moi,Wala Kenyatta Central kenya is a very portion on land Compared to the whole of kenya..let me analyse for you large farms in kenya plus their ownerships..Arusha is Only recognized as your administration Center nothing else infact it is your capital & can you Compare it to Nairobi?? Hell no...Mombasa?? Hell no....Kisumu?? dont even think about it....Nakuru?? Far much Developed....Eldoret??...my be yes may be Not....Kakamega??...yuh Comparablewasikilize namibia hao 😀😀😀😀
But they are Yet to realizeMpe za uso uyu mwenye akili za kuku😀😱😱😱😀😀Matofali *****, ivo ndio ccm inawalisha propaganda tangu 60s😀😀
Ghai!! I always wonder why Tanzanians post Simgle buildings along roads do this guyz even have Streets ama ni Vumbi tupu😀😀😀😀😀😀😀 Ndio maaana ariel photos are prohibited in Tanzania.
Hebu imagine how That place looked like before BRT...i doubt kama ilikuwa na Lamihalafu ukitajiwa brt hapa utadhani ni kitu ya maana sana...kumbe jina tu. Brt ya kupeleka watu kwenye changaduo, aka dream houses. Ona vile hiyo sehemu ilivyo pabaya
fly over kwetu si kitu na hatuna habari nazo.........Yania mnajenga the 1st flyover in Dar na mnaona mshatushinda kwa road infrastructure![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli Bongolala ni Bongolala hii ni ugonjwa aki
Kwanza ccm hampendi aerialview kabisaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Ndio maaana ariel photos are prohibited in Tanzania.