Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Economy ya Kibera pekee apana cheza nayo. Hawa ni watu matajiri chini ya maji. Wakija TZ automatically wanaingia kikundi cha middle class, ndugu
waje waingie middle class...........unadhani maisha mazuri yanakuja kirahisi rahisi pasipo kupambana eeh
 
Hajui kwahizo hizo Mabati ndio Great things come from...e.g Obama & Octo from Gheto to states KENYA NI INCHI YA MIUJIZA SANA I LOVE BEING KENYAN...
Just as the Origin of the Word Kenya -(Gods Resting Place) we set tha pace
-M pesa kenya
-Sport pesa kenya
-Lupita nyongo kenya
-Obama kenya
-Wanyama kenya
etc..Great things Come from kenya bana Tz labdo Ubongolala ndio Mshawahi produce.View attachment 812244View attachment 812245View attachment 812246View attachment 812247View attachment 812248View attachment 812249
huyo jamaa katokelezea kama mkora.......octopizzo kibaka
 
sisi tunajenga flyover panopobidi kujengwa na sio tujenge flyover wakat barabara zinazozunguka mijini zinatosha alaf nilikupa hii video itazame vzr ujifunze kitu😀😀
huyo ni zero utindio wa ubongo unamsumbua
 
NAIROBI CLASSIC CITY

AT NAIROBI 11:35AM
aerial-view-of-modern-lower-middle-class-housing-nairobi-kenya-east-A45AGP.jpg
 
huku bongo watu wana issue zao,tukikuona mwanaume unauliza kazi anayofanya mwanaume mwenzio,tunaweza tukadhani huenda we shoga!ni mademu tu ndo wenye tabia za kuuliza kazi wanazofanya wanaume,be careful!!
ulichomwambia ni kweli kabisa......ila anaweza akawa demu mwambie akucheck DM
 
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Jana nimeona picha ya interchange ya kurasini kwa juu, asee kama ulaya. Nikiziona tena ntazichukua niweke humu. Bongo hatari sana.
 
Hapo ni suburbs? Panakaa pazuri
ndiyo chief.......tena hapo nipakawaida sana.........sema hatuna aerial view picha za maeneo mengi sana......na hilo eneo ukisogea kulia kushoto bado nyumba zipo sema kuipata picha ya aerial view ya pamoja ni mtihan lazima uwe juu sana na nyumba hizo zitakuwa hazionekani ni pakubwa sana
 
knock out unataka kushindsna na arusha kwa hospital hii😀😀😀😀😀 kisumu
View attachment 812274 View attachment 812275
Wewe ni fala sana. So you expected me to just remain with you here overnight to argue about useless things? I have a lot of things to do my friend. On the other hand, ndo hizo government hospitals in Kisumu
1. Jaramogi Oginga Odinga Referal Hospital
Jaramogi-Oginga-Odinga-hospital.jpg
306750_405278626208985_1691600802_n.jpg
AF1QipNu-9vkSjeWfnpESAPzBvLqIjGqdxvOIzXzo-r9=s1600-w400.jpg
 
wanakwambia karaikoo ni CBD, mara soko, mara surbarb.... ukimbana sana, anageuza lugha na kusema juu ni surbarb, chini ni CBD + soko la kuuzia samaki na vitunguu na nyanya..
Karikaoo ni downtown
 
Back
Top Bottom