tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Yani ulete habari za 2016 za Tz alafu za Kenya za 2018 sasa unawezaje fanya comparison apo?Pole mkuu. Hizi hapa za Tanzania View attachment 804288View attachment 804289
Yani ulete habari za 2016 za Tz alafu za Kenya za 2018 sasa unawezaje fanya comparison apo?Pole mkuu. Hizi hapa za Tanzania View attachment 804288View attachment 804289
"Unakuja hapa unatuambia SGR HAMUAMBII WATANZANIA UKWELI, mapato yenu kwa mwaka mmekusanya maximumly mepata trilioni 14 mishahara trillioni 7, deni trillioni 9, nakishi trillioni 2(deficit) hizo pesa za SGR ambazo mnasema ni za ndani ziko wapi kwenye hizi trillioni 14? Na muwambie watu ukweli. Hivi SGR mmejenga wapi hata mita moja, tuonyeshe! Mnaenda mnaweka vizimba mnazindua, wale wakandarasi mmeshindwa hata kuwalipa petroli wameondoka. Wambie Watanzania ukweli. Unakaa hapa kutudanganya hapa eti tunamsifia Raisi kwa kujenga ukuta wa mererani, hivi pale watu wanaiba kwa mikataba au wanaiba kwa kupora Tanzanite na kuondoka nayo..."sio only phase one na phase two ni internal source hawa watalia kilio cha mbwa koko😀😀😀😀
Hizo miaka mbili mumefanya nini? Mumeongeza what capacity? Ata nikiwaekea eti mliongeza capacity ya 500MW bado umeme wenu KIASI sana.Yani ulete habari za 2016 za Tz alafu za Kenya za 2018 sasa unawezaje fanya comparison apo?
endelea kujipa moyo heheh 😀😀😀😀"Unakuja hapa unatuambia SGR HAMUAMBII WATANZANIA UKWELI, mapato yenu kwa mwaka mmekusanya maximumly mepata trilioni 14 mishahara trillioni 7, deni trillioni 9, nakishi trillioni 2(deficit) hizo pesa za SGR ambazo mnasema ni za ndani ziko wapi kwenye hizi trillioni 14? Na muwambie watu ukweli. Hivi SGR mmejenga wapi hata mita moja, tuonyeshe! Mnaenda mnaweka vizimba mnazindua, wale wakandarasi mmeshindwa hata kuwalipa petroli wameondoka. Wambie Watanzania ukweli. Unakaa hapa kutudanganya hapa eti tunamsifia Raisi kwa kujenga ukuta wa mererani, hivi pale watu wanaiba kwa mikataba au wanaiba kwa kupora Tanzanite na kuondoka nayo..."
MBUNGE WA TANZANIA.
MBUNGE!
Kuna capacity iliongezeka kinyerezi II 240MWHizo miaka mbili mumefanya nini? Mumeongeza what capacity? Ata nikiwaekea eti mliongeza capacity ya 500MW bado umeme wenu KIASI sana.
TUUSAN tangia 2016 mumeongeza capacity gani??
Tumieni hizi madini mlio nazo nanyi pia mjiendeleze.😀😀😀wewe umekomaa kabisa kiakili unazungumzia habari za 2030 leo kweli!!
acha tz iwasumbue vichwa,hiyo ni mkakati wa 2022 hapa tz,si una taarifa uranium tuko nayo cubic kadhaa ama hujui😀😀,unapiga makelele tu.
The article nimekupea hapo juu ni ya April 2018, it's only phase one mmefund solo but the remaining phases you have been helped.it was before walipokataa kutoa soft loan tukaachana nao tukajenga kwa pesa yetu phase mbili kumbuka ni modern electric train africa hio usisahau😀😀😀😀
Very FAR FROM THE TRUTH.huyo anapata tabu sana anahangaika sana yani tanzania inamnyima usingizi😀😀😀😀
gari moshi mchina anazidi kuwamaliza😀😀😀Hizo miaka mbili mumefanya nini? Mumeongeza what capacity? Ata nikiwaekea eti mliongeza capacity ya 500MW bado umeme wenu KIASI sana.
TUUSAN tangia 2016 mumeongeza capacity gani??
Afadhali sisi tunayo. Nyinyi HAMNAgari moshi mchina anazidi kuwamaliza😀😀😀
safari hii mumeingia choo cha kike😛😛
deni mchina, gari moshi mchina
Na USIJARIBU kulinganisha SGR yetu na TAZARA yenuAfadhali sisi tunayo. Nyinyi HAMNA
tunajenga the modern electric train in africa hehehe hua tunaangalia wapi mlipokosea nyie sisi tunarekesbisha hapo 😀😀😀😀😀Afadhali sisi tunayo. Nyinyi HAMNA
Endeleeni kujenga, ikiwa functional mniambie. Mna nini cha maana cha kuvunia isipokuwa Kilimanjaro?tunajenga the modern electric train in africa hehehe hua tunaangalia wapi mlipokosea nyie sisi tunarekesbisha hapo 😀😀😀😀😀
2019 phase one baby na hii thread haitakufa mpaka tuhakikishe mumeona😀😀😀😀Endeleeni kujenga, ikiwa functional mniambie. Mna nini cha maana cha kuvunia isipokuwa Kilimanjaro?
USIJARIBUNa USIJARIBU kulinganisha SGR yetu na TAZARA yenu
Sasawa dada2019 phase one baby na hii thread haitakufa mpaka tuhakikishe mumeona😀😀😀😀
Hasira mbaya sanaEndeleeni kujenga, ikiwa functional mniambie. Mna nini cha maana cha kuvunia isipokuwa Kilimanjaro?