game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,328
- 26,976
Juakali things again,Talanta stadium commuter railway line
View attachment 3681617View attachment 3681618View attachment 3681619
Juakali things again,Talanta stadium commuter railway line
View attachment 3681617View attachment 3681618View attachment 3681619
Washamaliza uzinduzi wao wenye michambo sasa wenye akili timamu ambao hatusubiriii pesa za abiria wa nganya tunaanza kaziView attachment 3682159
Kuna comments za wakunya zinachekesha humo 😃,kunyan wanajenga refinery yao lakini tanga inawakosesha usingizi kabisa baada ya kutoswa,dangote na ruto kwa akili zao walijua wanaweza kujichomeka kwenye EACOP kiujanja ujanja 😄😄
Na wataita viongozi from everywhere afrika kuzinduaKuelekea Talanta international stadium!
Atakua na hali mbaya sana saahv from ile trauma ya m7Who is Dangote anyway to threaten Gen. Museveni!