Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imefichwa venye walificha mahindi last year. Pray very hard the Cartel movement isiingie Bongo, those people are very dangerous, all they care about is money.
poleni sana masikini sasa hvi no food no sugar dahhh😀😀😀😀😀😀
 
Hii hapa kazi rahisi sana kwangu kama structural engineer my friend. Sigiri bridge ni a case yenye tutaongelea nikipata facts. Unadhani Hii ndio the only bridge in Kenya? Buda! Bridges nipatie budget (ongea na maghufuli anaweza nipatia contract niwaundie bridges) na nitadesign tuunde kisha mje hapa JF kujifurahisha nazo
Ungeanza na hilo lenu lililodondoka idiot....
 
For the record sina ubaya wowote na TZ. Nyinyi ni majirani na tunafurahia kuona nyinyi pia mkikua. Ila nyinyi wenyewe mnadhani hii ni competition bana. Yes, mnakua lakini kujilimbikiza masifa na kuongelea mabaya kuhusu Kenya kila saa linasikitisha. Mkubali hadhi yenu na mjikakamue na tusonge mbele pamoja. Hii maneno si vita. Hamtakua kwa kukanyaga Kenya.. Sisi ni majirani tu
Njoo upate absolute vodka apa sinza one time nalipa
 
Tunajenga 722 km kwa mpigo nyie mmekamilisha tu 400+km na maji hatunywi lol...na bado ni haina umeme ujue mnafaa mpimwe mkojo
Ebu leta mapicha tuone venye inafanana...I welcome competition cause its good for development.
 
Ndugu zangu wakenya kumbe na ninyi mlikuwa mmeimiss Jamii forums eeh, baada ya kutokuwepo hewani takribani mwezi vipi kuna jipya huko Nairobi?
 
Tunajenga 722 km kwa mpigo nyie mmekamilisha tu 400+km na maji hatunywi lol...na bado ni haina umeme ujue mnafaa mpimwe mkojo
au mkojo wao chembechembe za mercury kutoka kwenye sukari😀😀😀😀😀😀
 
There is nothing new in this forum, all the photos being posted here from both Nairobi and Dar es saalam side are just repetition of the previous posts.
N u still the same teargass with the same views so what is ur point
 
MNF TOWER 30FLR ×2 To let...the tallest 5* hotel across the region...
PSPF TOWERS 35FLR ×2 This is Dar
Screenshot_2018-06-25-21-56-10-1.jpg
 
Back
Top Bottom