Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buda SGR Itafika hadi KIGALI sasa sijui hiyo 700km yako tutaiweka wapi
kigali yuko huku na kasha saini mkataba tanzania kigali ya wapi unayoizungumzia wewe😀😀😀😀 burundi nae kasha saini tayar yani hapo msali sala zote kumuomba uganda tu
 
Hizo ni shida zetu. Na bado tukiwa na hizi mashida bado tuko better kuwaliko.

Swali ni jee.. Tukipambana na mashida zetu tutakuaje? Si mtaona Kenya ni kama England ya Africa na Nairobi kama LONDON?

Mjimudu tafadhali
kwa taarifa yako kenya ina shida nyingi sana kuliko tanzania hata leo ukiangalia inflation kenya iko juu kuliko tanzania😀😀😀😀 muna nuka njaa usiku na mchana

nairobi ni kama london au sio😀😀😀😀
 
The HUB, Karen, NAIROBI View attachment 801476
tapatalk_1530617077006.jpeg
tapatalk_1530617074963.jpeg
tapatalk_1530617073099.jpeg
 
For the record sina ubaya wowote na TZ. Nyinyi ni majirani na tunafurahia kuona nyinyi pia mkikua. Ila nyinyi wenyewe mnadhani hii ni competition bana. Yes, mnakua lakini kujilimbikiza masifa na kuongelea mabaya kuhusu Kenya kila saa linasikitisha. Mkubali hadhi yenu na mjikakamue na tusonge mbele pamoja. Hii maneno si vita. Hamtakua kwa kukanyaga Kenya.. Sisi ni majirani tu
nyie muna roho mbaya sana na hamupendi kuona tanzania ikiinuka tunawajua vzr sana na safari hii tutakula sahani moja na nyie mpaka maji muite mma😀😀😀😀😀
 
Kuna Hii picha niliona hapa kitambo kidogo lakini NBO yavutia Itabidi nimeirudisha hapa.

Hii bado CBD
tapatalk_1530617731046.jpeg
 
For the record sina ubaya wowote na TZ. Nyinyi ni majirani na tunafurahia kuona nyinyi pia mkikua. Ila nyinyi wenyewe mnadhani hii ni competition bana. Yes, mnakua lakini kujilimbikiza masifa na kuongelea mabaya kuhusu Kenya kila saa linasikitisha. Mkubali hadhi yenu na mjikakamue na tusonge mbele pamoja. Hii maneno si vita. Hamtakua kwa kukanyaga Kenya.. Sisi ni majirani tu
Yes this is the spirit of neighborhood. Kwani kweli Tanzania tufanye yetu tu by any means hatuwezi kushindana na Kenya. They are well ahead of us not by inches but by miles
 
nyie muna roho mbaya sana na hamupendi kuona tanzania ikiinuka tunawajua vzr sana na safari hii tutakula sahani moja na nyie mpaka maji muite mma😀😀😀😀😀
Sisi ni mandugu bro, Siwezi takia mtu yeyote mabaya especially hapa Africa mashariki. Mkikua tunakua pia, kutana na mkenya yeyote nje ya JF na mzungumze kuhusu TZ, utashtuka hakuna alie na mabaya kusema
 
Back
Top Bottom