Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
hawana akilihehhe mchina kawachakaza kweli kweli kawaletea train zimetumiaka 50yrs ago 😀😀😀😀 alaf leo wanajisifu
hawana akilihehhe mchina kawachakaza kweli kweli kawaletea train zimetumiaka 50yrs ago 😀😀😀😀 alaf leo wanajisifu
america japan germany wao tunawaita developed countries hawazungumzii habari ya dawa hospitalini au habari ya maji 😛😛😛😛Kina Japan, America, China, Germany wako na debt to GDP ratio ya more than 100 % wengine ata 200%
Kenya ni 60% ..what's your point?
according to kenya standards😀😀😀😀Good. Lakini
1.Ziko kasi tena sana (120kph na 100kph)
2.Hakuna maajali
3. Ziko comfortable
4.WaKenya wamezifurahia
karibu sana mkenya unaelazmisha kua mtanzania😀Ukweli usemwe na watu tukubali,kuanzia morroco hadi mwenge eneo hill ndio kijitonyama ipo kuna majengo mazuri mapya na new developments kando ya hiyo bagamoyi road lakini nyuma ya hayo majengo ni uswahili na uchafu maarufu kama slums japo sio kama za nairobi may be kwa kuwa linajengwa taratibu litakuja kuwa kama posta au upanga ila kuishindanisha na mitaa ya nairobi kwa sasa ni uongo
mumeambuliwa stations tu lakin kwa hapa mutajutia mpaka yesu anashuka😀😀😀😀Twajivunia kua na SGR
mambo shwari View attachment 801430View attachment 801431View attachment 801432View attachment 801433
usiiweke Kenya pamoja na Africa.. Kenya linganisha na Egypt, South Africa, Nigeria na Mauritius buda.america japan germany wao tunawaita developed countries hawazungumzii habari ya dawa hospitalini au habari ya maji 😛😛😛😛
kenya na africa tunaita developing countries usichanganye oil na maji😀😀😀😀😀
Speed : 120kph (cargo services) 100kph (passenger trains)
umejaza funza kichwani😀😀😀😀Speed : 120kph (cargo services) 100kph (passenger trains)
Comfort : very comfortable
Accidents: non at all
Tunafurahi
kwa vile egypt na nigeria ziko europe??😀😀😀😀usiiweke Kenya pamoja na Africa.. Kenya linganisha na Egypt, South Africa, Nigeria na Mauritius buda.
Regardless, debt to GDP yetu iko very sustainable na tukitaka tunaweza kuiongeza ifike Hadi 75%. Why? Juu tuko na uwezo, juu tunaweza na juu tutaweza kuimudu.
Nyie hata Sidhani mnaezapitisha 25%
sio tukianza tushaanza na tunajenga phase mbili kwa pamoja without any loan my friend😀😀😀😀Hii ndio ile SGR hua mnaskia
Mue wakakamavu TZ.. mkianza yenu, yetu ilishamalizika na sasa hivi iko on its way to KISUMU then to UGANDA and eventually KIGALI View attachment 801444View attachment 801445View attachment 801446View attachment 801447View attachment 801448View attachment 801449View attachment 801450
Umeshaanza uongoeconomy inakua kwa 4.4% unaita strong huku dedt to GDP ratio is 60% heheh yani mchina kawacharaza viboko vitakavowaumiza 40yrs my friend 4b usd nai to msa 450km alaf munaletewa train za 50yrs ago wakat tanzania inajenga modern electric train in africa 700km kwa 3.16b usd without any single loan😀😀😀😀😀😀😀
hii sio ile tz ya 90s
Sasawa mkuu.. Ata hiyo 80kph unayosisitiza japokua ni uongo nitaikubali kwani bado ni kasi sana kwa treni ambazo tulikua tumezoea 30-40kphumejaza funza kichwani😀😀😀😀
yani cargo ikimbie 120 na abiria 100 who told you??
passenger 120
freight 80km per hr😀😀😀😀
View attachment 801459
Buda SGR Itafika hadi KIGALI sasa sijui hiyo 700km yako tutaiweka wapisio tukianza tushaanza na tunajenga phase mbili kwa pamoja without any loan my friend😀😀😀😀
nyie munajenga 90km to naivasha
so 450+ 90 = 540km
tanzania inajenga 700km kwa mpigo hehehe
Ngeli ya waTZ ni 'tuta' 'tuna' ya Wakenya ni 'tume' ndugusio tukianza tushaanza na tunajenga phase mbili kwa pamoja without any loan my friend😀😀😀😀
nyie munajenga 90km to naivasha
so 450+ 90 = 540km
tanzania inajenga 700km kwa mpigo hehehe
Hizo ni shida zetu. Na bado tukiwa na hizi mashida bado tuko better kuwaliko.kwa vile egypt na nigeria ziko europe??😀😀😀😀
is kenya developed country?? hahahhahah
mchawi mpe mwanao amlee😛😛😛😛
muko na uwezo wa corruption, wizi , ukabila , police killing na kukopa loan za ovyo

