leo chai umetia sukari bro???😀😀😀😀😀There is nothing new in this forum, all the photos being posted here from both Nairobi and Dar es saalam side are just repetition of the previous posts.
asante kwa kuja........Ukweli usemwe na watu tukubali,kuanzia morroco hadi mwenge eneo hill ndio kijitonyama ipo kuna majengo mazuri mapya na new developments kando ya hiyo bagamoyi road lakini nyuma ya hayo majengo ni uswahili na uchafu maarufu kama slums japo sio kama za nairobi may be kwa kuwa linajengwa taratibu litakuja kuwa kama posta au upanga ila kuishindanisha na mitaa ya nairobi kwa sasa ni uongo
Kwa mikataba aliandaa na kusaini nani vile?? Na sheria je alipitisha nani?? Mazingira yale yale ya hayo madudu mbona yapo tu yaani ushabiki wa wa kijinga na kiongozi wa malaika ndo namba moja kwa kuufanyaulitaka gas tugawe bure au ulitaka tuingie mikataba isiokua na win win situations 😀😀😀😀
what is important nchi inufaike na mwekezaji anufaike sio anakuja mwekezaji anataka 70% kwa 30% alaf unataka ukenue meno
gas deal imesmamishwa kwasababu ya mikataba mibovu ndio maana tunatafuta mwekezaji mwenye nia njema na anaeweza kufanya deal za win win situation na kwenye madini tumefanya hvyo hvyo😀😀😀😀😀Kwa mikataba aliandaa na kusaini nani vile?? Na sheria je alipitisha nani?? Mazingira yale yale ya hayo madudu mbona yapo tu yaani ushabiki wa wa kijinga na kiongozi wa malaika ndo namba moja kwa kuufanya
Kuja wapi na kutoka wapiasante kwa kuja........
Imebidii niachane na chai kidogo😀😀😀...Uhai muhimu broh.leo chai umetia sukari bro???😀😀😀😀😀
watz ni watu poa sana buda ........For the record sina ubaya wowote na TZ. Nyinyi ni majirani na tunafurahia kuona nyinyi pia mkikua. Ila nyinyi wenyewe mnadhani hii ni competition bana. Yes, mnakua lakini kujilimbikiza masifa na kuongelea mabaya kuhusu Kenya kila saa linasikitisha. Mkubali hadhi yenu na mjikakamue na tusonge mbele pamoja. Hii maneno si vita. Hamtakua kwa kukanyaga Kenya.. Sisi ni majirani tu
sukari hakuna nasikia mumelishwa sukari ina kemikali dah poleni sana😀😀😀😀Imebidii niachane na chai kidogo😀😀😀...Maisha muhimu broh.
But hizo ni tu porojo za kisiasa, mercury is very expensive that no businessman who wants to make profit can dare do that.sukari hakuna nasikia mumelishwa sukari ina kemikali dah poleni sana😀😀😀😀
My fren, nitakujulisha kua hizo treni hata hazijaConstitute a big percentage of that 4b (sic)my friend 4b usd nai to msa alafu munaletewa gari moshi vyuma chakavu😀😀😀😀😀
usiseme ya umeme sema the modern electric train in africa itakwenda speed mpaka 200km per hr watu wanasonga mbele nyie munarudi nyuma 60yrs ago
![]()
sasa kwann sukari imekua shida imepanda bei sanaBut hizo ni tu porojo za kisiasa, mercury is very expensive that no businessman who wants to make profit can dare do that.
Hii hapa kazi rahisi sana kwangu kama structural engineer my friend. Sigiri bridge ni a case yenye tutaongelea nikipata facts. Unadhani Hii ndio the only bridge in Kenya? Buda! Bridges nipatie budget (ongea na maghufuli anaweza nipatia contract niwaundie bridges) na nitadesign tuunde kisha mje hapa JF kujifurahisha nazotuwapate mbele ikiwa kujenga daraja la 80meters linabomoka chini ya viwango
sigiri kenya, mchina kawapatia sana safari hiii
![]()
je mkiambiwa mujenge daraja lenya 400 meters itakuaje😀😀😀😀😀😀
kilombero bridge tanzania
![]()
![]()
never so it means kujenga madaraja na kutandika reli mumefanyiwa bure??😀😀😀😀😀My fren, nitakujulisha kua hizo treni hata hazijaConstitute a big percentage of that 4b (sic)
Part of that cash imetumika kuunda stesheni za kisasa zaidi ya kumi (na bado)
so unataka kushindana na tanzania kwenye modern bridges au???😀😀😀😀😀😀Hii hapa kazi rahisi sana kwangu kama structural engineer my friend. Sigiri bridge ni a case yenye tutaongelea nikipata facts. Unadhani Hii ndio the only bridge in Kenya? Buda! Bridges nipatie budget (ongea na maghufuli anaweza nipatia contract niwaundie bridges) na nitadesign tuunde kisha mje hapa JF kujifurahisha nazo
Ungekua mtu mwenye akili timamu ungeona kwamba nimesema 'part of 'never so it means kujenga madaraja na kutandika reli mumefanyiwa bure??😀😀😀😀😀
toa huo uchafu kichwani wewe kubali kua mchina amewaliza tu ukweli ndio huo🙄🙄🙄


Kuja wapi na kutoka wapi

hahah leo umenichekesha sana sasa kwa taarifa yako kubali kua mchina kawakalisha kwenye kuti kavu😀😀😀😀Ungekua mtu mwenye akili timamu ungeona kwamba nimesema 'part of '
Wacha nikimbie nyumbani nitazame WC
Nitawaacha mtafakari
![]()
Imefichwa venye walificha mahindi last year. Pray very hard the Cartel movement isiingie Bongo, those people are very dangerous, all they care about is money.sasa kwann sukari imekua shida imepanda bei sana