Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy hapa ni Pinnacle. Kazi inaendelea. Ulitaka nikuonyeshe tofali moja lakini bado mkuu..

Mimi mwenyewe ni structural engineer na nitakuambia such a huge structure requires a deep foundation.. So far naona ni drilling of hizo piles za foundations before ujenzi (matofali uliokua ukitaka) uanze. Usikue na matumaini anytime soon but Pinnacle itakamilika around 2021View attachment 801562View attachment 801563
so iko hvo since 2014 no works going on??
big white elephant😀😀😀😀 heheheh
go on showing us renders of pinnacle na usisahau montave na nairobi88
 
anhaa kumbe ndio akili yako imekutuma hvo😀😀
View attachment 801551 View attachment 801552
Hehe sawasawa hapo panavutia. Pale ambapo nimeinamia Dar ni building density mnazo. Lakini at the expense of one major thing, Social amenities (as in parks, forests, na generally pahali pa kutulia) Ama mnazo parks? Sijui..utaniambia

NBO kuna UHURU PARK, CITY PARK, JEEVANJEE GARDENS, KARURA forest pahali pa kubarizi tu
 
nyie munamatatizo na kila nchi ndio maana hata mugabe alisema munapenda kutangaza vitu visivyokua vya kwenu😀😀😀😀
haha wrong. Mugabe na naona wewe pia alimaanisha umaarufu wa waKenya. WaKenya watu hatari sana. Ni watu waliosoma sana kwa hivyo kazi nyingi sana waKenya utapata wanaqualify kwa sababu wako highly educated na ni wajanja
 
hahahahaaa kivipi wewe bwana, sahani moja mtakulaje kwa kufanya nini? Tatizo we have empty head in white house but our economy is shrinking day in day out because we have left out key sector like gas and Bagamoyo port project
porojo
nb:jifunze kuandika
 
Hehe sawasawa hapo panavutia. Pale ambapo nimeinamia Dar ni building density mnazo. Lakini at the expense of one major thing, Social amenities (as in parks, forests, na generally pahali pa kutulia) Ama mnazo parks? Sijui..utaniambia

NBO kuna UHURU PARK, CITY PARK, JEEVANJEE GARDENS, KARURA forest pahali pa kubarizi tu
kufikia density ya CBD dar labda ukusanye cbd yenu kusanya upper hill kusanya westland etc😀😀😀😀
sehemu za kupumzika nyingi dar ziko pembezoni mwa bahari ndio kuna open space nyingi sana
 
so iko hvo since 2014 no works going on??
big white elephant😀😀😀😀 heheheh
go on showing us renders of pinnacle na usisahau montave na nairobi88
Get your facts right. 2014 bado ilikua design stages. Stages za construction huwa ni PLANNING kisha DESIGNING alafu sasa Construction.. Ambayo ilianza late 2015
 
Hehe sawasawa hapo panavutia. Pale ambapo nimeinamia Dar ni building density mnazo. Lakini at the expense of one major thing, Social amenities (as in parks, forests, na generally pahali pa kutulia) Ama mnazo parks? Sijui..utaniambia

NBO kuna UHURU PARK, CITY PARK, JEEVANJEE GARDENS, KARURA forest pahali pa kubarizi tu
sehem kama hzo
B050121F-EED4-4C5C-A79E-E14DDB9EBE46.jpeg
44C46FE9-689F-41A0-BCBD-548DB7344E43.jpeg
 
haha wrong. Mugabe na naona wewe pia alimaanisha umaarufu wa waKenya. WaKenya watu hatari sana. Ni watu waliosoma sana kwa hivyo kazi nyingi sana waKenya utapata wanaqualify kwa sababu wako highly educated na ni wajanja
hawana ujanja zaidi ya ujinga unafurahia train ya 60yrs ago wakat mchina anaakili na kawatandika kisawasawa
 
Get your facts right. 2014 bado ilikua design stages. Stages za construction huwa ni PLANNING kisha DESIGNING alafu sasa Construction.. Ambayo ilianza late 2015
hahhahaa go on posting renders plz😀😀😀
 
Lazima ungesingizia tu. Najielewa tena vizuri sana, ndugu.

Ukitaka kujua haraka ninayo ongelea.. For free, I will tell you to refer to the back pages
endeleea kufanya haraka for nothing...........nakutakia mafanikio mema...........
 
hawana ujanja zaidi ya ujinga unafurahia train ya 60yrs ago wakat mchina anaakili na kawatandika kisawasawa
Sasa hapa ndio tofauti kuu baina ya sisi na nyinyi. Nyinyi mnaangalia mvuto wa treni (yaani sura) Sisi tunaangalia ufanyikazi wa treni

*Treni inakimbia at 120kph na 100kph
*Treni inasafirisha abiria na goods (containers) taratibu
*Treni iko comfortable na imepunguza wakati wa kusafiri na karibu saa nne
*SGR yenyewe itatumia umeme wakati umeme itakua sufficient

Nyinyi bado mnatulilia ati ooh 60yrs old ooh 100yrs old.. Hadi saa ngapi??
 
which is 100km per hr hebu tueleze hapo???? cargo train??

munachukua mkopo 4b usd nai to msa alaf munaletewa train za 50yrs ago hahahah😀😀😀😀
Kenya-Railways-Corporation-receives-new-locomotives-and-rolling-stock-for-SGR-shipment-service.jpg
walivyowapuuzi wamezipiga kabisa chapa ya bendera
.......wapo doro sana hawa wakenya
 
Sasa hapa ndio tofauti kuu baina ya sisi na nyinyi. Nyinyi mnaangalia mvuto wa treni (yaani sura) Sisi tunaangalia ufanyikazi wa treni

*Treni inakimbia at 120kph na 100kph
*Treni inasafirisha abiria na goods (containers) taratibu
*Treni iko comfortable na imepunguza wakati wa kusafiri na karibu saa nne
*SGR yenyewe itatumia umeme wakati umeme itakua sufficient

Nyinyi bado mnatulilia ati ooh 60yrs old ooh 100yrs old.. Hadi saa ngapi??
my friend 4b usd nai to msa alafu munaletewa gari moshi vyuma chakavu😀😀😀😀😀

usiseme ya umeme sema the modern electric train in africa itakwenda speed mpaka 200km per hr watu wanasonga mbele nyie munarudi nyuma 60yrs ago

SGR-coach-in-Kenya-1024x685-1.jpg
 
Asante sana kwa mujibu wa waKenya. Mtupate mbele basi
tuwapate mbele ikiwa kujenga daraja la 80meters linabomoka chini ya viwango
sigiri kenya, mchina kawapatia sana safari hiii
sig8.jpg

je mkiambiwa mujenge daraja lenya 400 meters itakuaje😀😀😀😀😀😀
kilombero bridge tanzania
AF1QipNDXswAhSQ5tfRYrkX9UgNojMc1a4_JzTaH02Sv=s0

Magufuli%20bridge.jpeg
 
Back
Top Bottom