Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hehhe mchina kawachakaza kweli kweli kawaletea train zimetumiaka 50yrs ago 😀😀😀😀 alaf leo wanajisifu
Zimetumika ata 100 years ago lakini cha muhimu kwa waKenya ni kua zinafanya kazi tena vizuri sana. Hakujakua na maajali, zinakimbia kwa kasi (120kph na 100kph) na ziko comfortable.

Watanzania mnaangalia sura ya treni tuu?
 
which is 100km per hr hebu tueleze hapo???? cargo train??

munachukua mkopo 4b usd nai to msa alaf munaletewa train za 50yrs ago hahahah😀😀😀😀
Kenya-Railways-Corporation-receives-new-locomotives-and-rolling-stock-for-SGR-shipment-service.jpg
 
hehehe wacha turudi kwenye facts kumbe akili yako ulijua hzo ni slum hehehhe😀😀😀😀😀 na hapo ndio nilikua nakusubiri kwa hamu uguse kwenye slum ujionee raha ilioje karib sana
View attachment 801404
Hahaha yani unadhani mimi ni mgeni ati nimeingia JF jana tuu? Buda, Hii thread nimefuatilia Tangu ianze na hiyo list nimeshaona. Ati Ulikua unangoja nizungumzie slums?
Haya nishaguzia slums na nimekwambia ziwemo tena nyingi sana ila hazitudhuru
 
which is 100km per hr hebu tueleze hapo???? cargo train??

munachukua mkopo 4b usd nai to msa alaf munaletewa train za 50yrs ago hahahah😀😀😀😀
Kenya-Railways-Corporation-receives-new-locomotives-and-rolling-stock-for-SGR-shipment-service.jpg
Uliskia dunia inaisha kesho? Hizo mikopo ni zetu na tutazilipa usijali. Kenya bado inakua (economy yetu very strong BTW) so mikopo or not hazifai kukusumbua

As for the trains uliza mkenya yeyote Ule ama Ndugu zako waTZ waliozipanda utakuja hapa kutuambia kama nadanganya
 
Hahaha yani unadhani mimi ni mgeni ati nimeingia JF jana tuu? Buda, Hii thread nimefuatilia Tangu ianze na hiyo list nimeshaona. Ati Ulikua unangoja nizungumzie slums?
Haya nishaguzia slums na nimekwambia ziwemo tena nyingi sana ila hazitudhuru
YANI KWENYE NENO LINALOITWA SLUM HEHEH KWANGU UTAKIMBIA BURE
ULIKUA UNAFATILIA AU WE NI MGENI UMEKUJA JUZI TU HUMU😀😀😀😀😀😀😀
 
Zimetumika ata 100 years ago lakini cha muhimu kwa waKenya ni kua zinafanya kazi tena vizuri sana. Hakujakua na maajali, zinakimbia kwa kasi (120kph na 100kph) na ziko comfortable.

Watanzania mnaangalia sura ya treni tuu?
Zko comfortable kwa standard za kwenu
 
Uliskia dunia inaisha kesho? Hizo mikopo ni zetu na tutazilipa usijali. Kenya bado inakua (economy yetu very strong BTW) so mikopo or not hazifai kukusumbua

As for the trains uliza mkenya yeyote Ule ama Ndugu zako waTZ waliozipanda utakuja hapa kutuambia kama nadanganya
economy inakua kwa 4.4% unaita strong huku dedt to GDP ratio is 60% heheh yani mchina kawacharaza viboko vitakavowaumiza 40yrs my friend 4b usd nai to msa 450km alaf munaletewa train za 50yrs ago wakat tanzania inajenga modern electric train in africa 700km kwa 3.16b usd without any single loan😀😀😀😀😀😀😀

hii sio ile tz ya 90s
 
Danganya toto jinga
 
Zko comfortable kwa standard za kwenu
Standards zenu ni gani?

Hamna idea kwa sababu bado hamjui kama SGR yenu itaundwa, imalizike au LA

Standards tutacompare mkishapata SGR.

Standards za TAZARA zi vipi?
 
economy inakua kwa 4.4% unaita strong huku dedt to GDP ratio is 60% heheh yani mchina kawacharaza viboko vitakavowaumiza 40yrs my friend 4b usd nai to msa 450km alaf munaletewa train za 50yrs ago wakat tanzania inajenga modern electric train in africa 700km kwa 3.16b usd without any single loan😀😀😀😀😀😀😀

hii sio ile tz ya 90s
Kina Japan, America, China, Germany wako na debt to GDP ratio ya more than 100 % wengine ata 200%

Kenya ni 60% ..what's your point?
 
Yaani kumbe nje ya cbd dar hakuna kitu kijitonyama yenye mnashinda mkiiba ha pa ni majengo alalafu slum alafu hadi unaikana, cha muhimu umejua dar ni ya kulinganisha na Mogadishu kuanza leo😀😀😀😀
Ukweli usemwe na watu tukubali,kuanzia morroco hadi mwenge eneo hill ndio kijitonyama ipo kuna majengo mazuri mapya na new developments kando ya hiyo bagamoyi road lakini nyuma ya hayo majengo ni uswahili na uchafu maarufu kama slums japo sio kama za nairobi may be kwa kuwa linajengwa taratibu litakuja kuwa kama posta au upanga ila kuishindanisha na mitaa ya nairobi kwa sasa ni uongo
 
Back
Top Bottom