asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,015
Hahaha hapa Itabidi nitumie maneno yako
"umbali wa camera"
Hahaha hapa Itabidi nitumie maneno yako
umbali wa camera au picha hazijapakwa make up😀😀😀😀😀😛😀😀Hahaha hapa Itabidi nitumie maneno yako
"umbali wa camera"
Lakini sasa nyinyi mnarudi tu kwa just one pic na ni zile tower areas tu. Hapo, kusema ukweli bila kukuficha nitalinganisha na Westlands mkuu
hahahahaaa kivipi wewe bwana, sahani moja mtakulaje kwa kufanya nini? Tatizo we have empty head in white house but our economy is shrinking day in day out because we have left out key sector like gas and Bagamoyo port projectnyie muna roho mbaya sana na hamupendi kuona tanzania ikiinuka tunawajua vzr sana na safari hii tutakula sahani moja na nyie mpaka maji muite mma😀😀😀😀😀
mkikua munakua na nani kila mtu atakua kivyake tu nyie ndio mulikua munatutukana miaka 10 iliopita na kutudharau nakumbuka sanaSisi ni mandugu bro, Siwezi takia mtu yeyote mabaya especially hapa Africa mashariki. Mkikua tunakua pia, kutana na mkenya yeyote nje ya JF na mzungumze kuhusu TZ, utashtuka hakuna alie na mabaya kusema
hii ni hatari sana, mabanda ya nguruwe na mbwa afadhalihehheehh slums hazina hata access of roads and water😀😀😀😀😀😀😀
nairobi kufikia dar itawachukua 40yrs
View attachment 801399 View attachment 801400 View attachment 801401
Uliza majirani wetu UGANDA. Watakuambia Kenya ikikua wao pia wanasonga mbele. Uganda wao kwanza vile wako landlocked wanategemea Kenya sana. Na hakujawahi kua na tatizo.mkikua munakua na nani kila mtu atakua kivyake tu nyie ndio mulikua munatutukana miaka 10 iliopita na kutudharau nakumbuka sana
anhaa kumbe ndio akili yako imekutuma hvo😀😀Lakini sasa nyinyi mnarudi tu kwa just one pic na ni zile tower areas tu. Hapo, kusema ukweli bila kukuficha nitalinganisha na Westlands mkuu
hahhaha alaf wanajifanya hawajui maana ya slums😀😀😀😀😀😀hii ni hatari sana, mabanda ya nguruwe na mbwa afadhali
ulitaka gas tugawe bure au ulitaka tuingie mikataba isiokua na win win situations 😀😀😀😀hahahahaaa kivipi wewe bwana, sahani moja mtakulaje kwa kufanya nini? Tatizo we have empty head in white house but our economy is shrinking day in day out because we have left out key sector like gas and Bagamoyo port project
nyie munamatatizo na kila nchi ndio maana hata mugabe alisema munapenda kutangaza vitu visivyokua vya kwenu😀😀😀😀Uliza majirani wetu UGANDA. Watakuambia Kenya ikikua wao pia wanasonga mbele. Uganda wao kwanza vile wako landlocked wanategemea Kenya sana. Na hakujawahi kua na tatizo.
Just 3 blue buildings as usual😀😀😀
ndio zinawatoa jasho usiku na mchana😀😀😀Just 3 blue buildings😀😀😀
Ni aje Ichoboy, naona umerudi na kelele tupu😀😀
Naona leo umepata mwenye unazungusha akili anakupeleka penye unamtaka😀😀ndio zinawatoa jasho usiku na mchana😀😀😀
mukiambiwa over 20floors munakimbia
huyo ni mtoto mdogo sana kwangu hana alijualo 😀😀😀😀 nimebakia kucheka tuNaona leo umepata mwenye unazungusha akili anakupeleka penye unamtaka😀😀
Sasa mbona mliamua kufunga JF? I used to waste time here when i was free.huyo ni mtoto mdogo sana kwangu hana alijualo 😀😀😀😀 nimebakia kucheka tu
Ni poa ulikuja ukapata hizi picha. Walikuwa wanasema kwao hakuna slums.