Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NAIROBI = Dar is slum + Mwanza +Arusha +Mbeya + Dodoma+Moshi +Tanga +
MOMBASA =Mwanza +Arusha +Mbeya +Dodoma +Moshi +Tanga +Moro
Kenya =Tanzania +Zanzibar + all your cities and Towns +Acha nisiendelee..... Unafikiri 81 b dollar economy ni kama hizo 56 za kuchanga
hehhe magoli umehakisha kwenye GDP ya kupika hahahah😀😀😀😀😀😀😀
 
😀😀😀😀😀 aimonekane nae yumo
Ameanza kua kenge siku hizi, hajui mihogo ilivyodeal ...apa kisarawe ukiwa na ekari moja unauza mihogo tsh 800,000 /= hadi 1M itategemea na aina ya mihogo yako...
Sasa ni miezi mitatu tu unavuna ukiwa na ekari 10 mathalani tayari unazaidi ya million 8...
Tena unahitaji mtaji kidogo tu...
 
wachina wanakula😀😀😀😀 hujasoma hio habari ukaelewa
wachina wanawaletea simu na ma-computer and the best you can do ni kuwapa mihogo in exchange kisha munaona muko sawa kabisa, mumeridhika, sio?
 
wachina wanawaletea simu na ma-computer and the best you can do ni kuwapa mihogo in exchange kisha munaona muko sawa kabisa, mumeridhika, sio?
ndio batter trade wewe wapi unaumia😀😀😀
 
ndio batter trade wewe wapi unaumia😀😀😀
ya mihogo na computer, sio!?
DL3iuk3XcAY8LUi.jpeg
 
sasa kama kila siku unakula holiday, utafanya kazi saa ngapi?
And you wonder why they are still an ldc. They are very good at story za vijiweni as they wait for their government to do everything for them....lazy to the brim
 
Man, this picture is very scary... could that road be going to hell????
Hehehe....that is not hell, that is dar is slum, the best city in east africa with a brt snaking its way through shanties (dream houses)
 
Back
Top Bottom