Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar yote inafanana kama hiyo picha ya brt hapo juu so tuliketa picha za nyumba za bati zilizorundikana bila mpangilio mbona mnakataa sio dar? Coz dar is the only mega slum in EA with shanties (dream houses) everywhere
hii kilio ni ya mbwa koko.
 
Mbona umesahau kututajia kuwa inapitia ndani ya slums? Au hiyo sio kitu muhimu kujua? Then u are talking of a 21 km 4-lane road wakati Thika rd ni 50 kms 12 lanes!!
thika road inazunguka katikati ya kijiji cha nairobi!!!!!,kwanza unashangaaje highway kuwa na 50km??

ni jiji moja tu EA lina slums.tena zaidi ya moja.
 
At least we had one of our iwn representing Africa. Nyinyi mnasaidiaje Africa? This guy is among the few FIFA referees from Africa who were going to officiate in the world cup...I now you danganyikans have a short nemory; Aden Marwa officiated even in the last world cup in Brazil....nyinyi endeleeni kupiga domo
muungwa akivuliwa nguo kuchuchumaa kuficha matako,you guy unainama
 
All along, I have always liked one town in Tanzania and that has to be Arusha and I have said so many times on this forum. There's a lot of order in that town then it has so many green spaces unlike most towns in TZ. I also saw a few pictures of Moshi and I think am going to add to on my list of favourites from the land of ujamaa. Mwanza, in my very honest opinion, is very much overrated and has nothing to its "big" name.
Miji iliyopangwa vizuri Tanzania niTanga then Moshi na Dodoma. Arusha haifikii hio miji kwa mpangilio labda weather tu ndo inazizidi.
 
dar-es-salaam-tanzania-traffic-at-corner-of-azikiwe-and-india-streets-bw0nm7.jpg
20180609_194949.jpg
 
thika road inazunguka katikati ya kijiji cha nairobi!!!!!,kwanza unashangaaje highway kuwa na 50km??

ni jiji moja tu EA lina slums.tena zaidi ya moja.
Thika rd inapitia kijiji gani? Alafu wewe ndo mwehu unataja barabara ya 21 km ya lanes nne. Mimi nimetaja 50 kms 12 lanes!!
 
Thika rd inapitia kijiji gani? Alafu wewe ndo mwehu unataja barabara ya 21 km ya lanes nne. Mimi nimetaja 50 kms 12 lanes!!
tuoneshe 12 lanes hapa😀😀😀😀
hata 10lanes nioneshe kama umekosa 12 heheh
 
Thika rd inapitia kijiji gani? Alafu wewe ndo mwehu unataja barabara ya 21 km ya lanes nne. Mimi nimetaja 50 kms 12 lanes!!
mbona povu??

nauliza unashangaa highway kuwa na 50km!!!au hujui highway ni nini???
 
Cha kushangaza ni kwamba kila picha ya Dar ikiletwa hapa the only thing nyinyi husema ni mwama ya maeneo ya watu wa kipato cha chini. Kwani Dar nzima kila mtu ni wa kipato cha chini kwa sababu maeneo mengi ya Dar yanafana vivyo hivyo
hakuna kitu kama hicho sehemu za watu wenye kipato cha chini ndiyo mara nyingi huwa hivyo......ila sehemu hizo hizo. pia wapo wanaojiweza .......
kikubwa hatuna picha za maeneo mengi sana ningrkuwa photographer ningeifanya hiyo kazi ili niweze kuwaonyesha aerial view ya maeneo mengine
 
Hiyo sehemu ni bomba kweli, at least according to Tanzanian standards. Hata sisi pia tunaona ilivyo bomba hehe
ni safi kabisa hapo .......ukipita chini utastaajabu ya mussa ni hatari
 
Talking of viwango vya kimataifa, enda Gigiri uone what international standards mean. Gigiri has arguably the highest number of expatriates in sub saharan Africa outside south Africa.
utalia sana ..........
 
At least we had one of our iwn representing Africa. Nyinyi mnasaidiaje Africa? This guy is among the few FIFA referees from Africa who were going to officiate in the world cup...I now you danganyikans have a short nemory; Aden Marwa officiated even in the last world cup in Brazil....nyinyi endeleeni kupiga domo
hapo huyo hana kitu inadhihirisha mfumo wake wote wa maisha ni rushwa from ze scrach
 
Back
Top Bottom