Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

AbassChizzy haya gusa na kwenye hotel between moshi and eldoret au nakuru alaf uone kama utatoka salama hapa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 hii sio ile tz ya 90s
Sasa wewe ndo umechanuka juzi tu wakati si tulichanuka kitambo...leta hzo mapost za hotels za moshi tudhibitishe reality
 
Hata Morogoro and dodoma,kahama ziko organized. ..but kask ofcz kumestaarabika nadhan ni watu kuwajibika tu...
Moshi inaeneo dogo wakiongeza eneo na kuimprove miundombinu itapewa hadhi ya jiji Ila kwa sasa bado ni Municipal
hizi zote umetaja hazifurahishi macho kabisa...kaskazini kuko sawa
 
Sasa wewe ndo umechanuka juzi tu wakati si tulichanuka kitambo...leta hzo mapost za hotels za moshi tudhibitishe reality
huwezi shindanisha hotel zilizo moshi na sehemu za kipuuzi kama nakuru na eldoret.........

cha kwanza moshi ni sehemu ambayo utalii unahusika hivyo kuwa mpole tu
 
ukhe ukhe mpaka udenda unakutoka 😀😀😀
dar kuifikia chukua nairobi+ mombasa+ kisumu+ kigali+ kampala l+ eldoret alaf uje

NAIROBI = Dar is slum + Mwanza +Arusha +Mbeya + Dodoma+Moshi +Tanga +
MOMBASA =Mwanza +Arusha +Mbeya +Dodoma +Moshi +Tanga +Moro
Kenya =Tanzania +Zanzibar + all your cities and Towns +Acha nisiendelee..... Unafikiri 81 b dollar economy ni kama hizo 56 za kuchanga
 
Yaani ukiwasikiliza hawa waKenya ambao hawajawahi kuvuka mipaka ya nchi yao unaweza kufikiri Kenya ni zaidi hata ya Ujerumani.
 
Yaani ukiwasikiliza hawa waKenya ambao hawajawahi kuvuka mipaka ya nchi yao unaweza kufikiri Kenya ni zaidi hata ya Ujerumani.

Na ukiwasikiza Watangatangagiza ambao wanakunywa tu supu ya Albino wakiongea utajidharau kuwa binadamu
 
ukisoma kweny comments, ubalozi wanasema kuna kiwanda cha kuchakata mihogo kitajengwa kisarawe.
HAPA KAZI TU!

TPDF nao hawako mbali
IMG_1528544260.221195.jpg
 
NAIROBI = Dar is slum + Mwanza +Arusha +Mbeya + Dodoma+Moshi +Tanga +
MOMBASA =Mwanza +Arusha +Mbeya +Dodoma +Moshi +Tanga +Moro
Kenya =Tanzania +Zanzibar + all your cities and Towns +Acha nisiendelee..... Unafikiri 81 b dollar economy ni kama hizo 56 za kuchanga
Baada ya Dar kuwahemesha sasa mnaanza kutunga taarabu humu...GDP if really matters then Lagos ingekua zaidi ya joburgy or even close to Cairo
 
Ni uchungu kwako kujibu hill swali? Between Dar Port and Mombasa Port Which is the biggest in East and Central Africa?
kuna mkenya mwenzenu huku mwizi raia washamuua ni mwizi .....alikuwa anaiba ndoo za mafuta yakupikia store
 
Back
Top Bottom