Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe hii brt is just one line with two short "branches"!!! Na vile wanaionyesha hapa utafikiri it has reached every corner of Dar
ukiambiwa dar ni kibwa uelewe.hiyo iko na jumla ya 21km+ na ni 1/3 ya project yote,inatoka upande mmoja tu wa jiji(kimara/morocco).

bado sijakutajia mapato
bado sijataja idadi ya magari
sijataja idadi ya waajiriwa humo
sijataja idadi ya abiria kwa siku

siku ikifika 100% itakuwa ni ujinga kuitaja taja sehemu kama hizi.
 
hauna street hizo.....au kipofu,,,,tena na isitoshe hayo ni maeneo wanayoishi watu wa hali ya chini ila kupo poa,,,,lete sehemu yenu wanayoishi watu wakipato cha chini
Cha kushangaza ni kwamba kila picha ya Dar ikiletwa hapa the only thing nyinyi husema ni mwama ya maeneo ya watu wa kipato cha chini. Kwani Dar nzima kila mtu ni wa kipato cha chini kwa sababu maeneo mengi ya Dar yanafana vivyo hivyo
 
ndiyo maana tunawaambiaga sehemu kama ni dar huwa tunakubali hatupingi ila kama siyo dar lazima tuwapinge...

kingine hiyo sehemu ni bomba tofauti na unavyofikiria......
Hiyo sehemu ni bomba kweli, at least according to Tanzanian standards. Hata sisi pia tunaona ilivyo bomba hehe
 
Ataombaje link wakati brt ishamuuza?
unapotuma picha ya sehemu hakikisha tu,una uhakika hamna tatizo.

unatuma picha ukiulizwa hapa ni wapi??, unasema dar,leta uthibitisho unalia ,hatuendi namna hiyo.

hapo ni dar maana brt iko dar pekee EA na KATI.
 
ukiambiwa dar ni kibwa uelewe.hiyo iko na jumla ya 21km+ na ni 1/3 ya project yote,inatoka upande mmoja tu wa jiji(kimara/morocco).

bado sijakutajia mapato
bado sijataja idadi ya magari
sijataja idadi ya waajiriwa humo
sijataja idadi ya abiria kwa siku

siku ikifika 100% itakuwa ni ujinga kuitaja taja sehemu kama hizi.
Mbona umesahau kututajia kuwa inapitia ndani ya slums? Au hiyo sio kitu muhimu kujua? Then u are talking of a 21 km 4-lane road wakati Thika rd ni 50 kms 12 lanes!!
 
unapotuma picha ya sehemu hakikisha tu,una uhakika hamna tatizo.

unatuma picha ukiulizwa hapa ni wapi??, unasema dar,leta uthibitisho unalia ,hatuendi namna hiyo.

hapo ni dar maana brt iko dar pekee EA na KATI.
Dar yote inafanana kama hiyo picha ya brt hapo juu so tuliketa picha za nyumba za bati zilizorundikana bila mpangilio mbona mnakataa sio dar? Coz dar is the only mega slum in EA with shanties (dream houses) everywhere
 
O'bay alone Ni kiwango cha kimataifa sio sehemu ya kulinganisha na zile estate zenu apo Karen
Kijana, najua unafabya haya yote sababu ya uzalendo ila jaribu kureason kidogo pia. Hakuna estate yoyote dar inaweza linganishwa na mtaa wa Karen, Nairobi. In fact hakuna estate yoyote Dar nzima unaweza linganisha na hizi mitaa za Nairobi: Karen, Muthauga, Runda, Muthangari, Spring Valley, Lavington, Kitisuru, Gigiri, et al. the list is endless
 
kabisa,,,yaani hawana akili hawa raia wakikenya wanafikiri hiyo ni local area
Talking of viwango vya kimataifa, enda Gigiri uone what international standards mean. Gigiri has arguably the highest number of expatriates in sub saharan Africa outside south Africa.
 
Kijana, najua unafabya haya yote sababu ya uzalendo ila jaribu kureason kidogo pia. Hakuna estate yoyote dar inaweza linganishwa na mtaa wa Karen, Nairobi. In fact hakuna estate yoyote Dar nzima unaweza linganisha na hizi mitaa za Nairobi: Karen, Muthauga, Runda, Muthangari, Spring Valley, Lavington, Kitisuru, Gigiri, et al. the list is endless
hana akili huyo. ukimskia anavyoropokwa, utajua wazi ubongo umejaa uji wa muhogo 😀😀😀
 
yaani wakenya ni wapuuzi sana ...yaani wanafikiri kombe la dunia ni ligi ya kenya wanayochezea kakamega yaani unakula rushwa kizembe ..... sema siwalaumu hii yote inatokana na umaskini kinachofuata ni kufungiwa ajiandae kwa mashtaka

pitia video hapa jinsi mkenya alivyo mpuuzi

Maafisa wa soka akiwemo Mkenya wanaswa wakipokea fedhaView attachment 798429
At least we had one of our iwn representing Africa. Nyinyi mnasaidiaje Africa? This guy is among the few FIFA referees from Africa who were going to officiate in the world cup...I now you danganyikans have a short nemory; Aden Marwa officiated even in the last world cup in Brazil....nyinyi endeleeni kupiga domo
 
hana akili huyo. ukimskia anavyoropokwa, utajua wazi ubongo umejaa uji wa muhogo 😀😀😀
Hawa jamaa uzalendo Imewalemesha kabisa hawajabakisha akili ya kufikiria. Hata wana habari kweli rent ya nyumba Karen ni pesa ngapi? And do they know how much it costs to buy a piece of land in Karen?
 
This nigga Ichoboy thinks we don't know what's happening in that shitty country of theirs. Anashinda hapa asubuhi hadi jioni akileta screenshots of negative news from Kenya thinking that danganyika is a small heaven where such things don't exist!! Inferiority complex is a very bad disease
uahahha 😀😀😀 acha kulia lia wewe tatizo lako wewe ikweli haupendi na nkiambiwa ukweli munaona mumeonewa😛😛😛😛
 
At least we had one of our iwn representing Africa. Nyinyi mnasaidiaje Africa? This guy is among the few FIFA referees from Africa who were going to officiate in the world cup...I now you danganyikans have a short nemory; Aden Marwa officiated even in the last world cup in Brazil....nyinyi endeleeni kupiga domo
akala rushwa hehhehe😀😀😀 state of corruption
 
Hawa jamaa uzalendo Imewalemesha kabisa hawajabakisha akili ya kufikiria. Hata wana habari kweli rent ya nyumba Karen ni pesa ngapi? And do they know how much it costs to buy a piece of land in Karen?
leta karen hapa tukuletee nyumba za adabu alaf uone sasa kama utatoka humu ndani😀😀😀
 
All along, I have always liked one town in Tanzania and that has to be Arusha and I have said so many times on this forum. There's a lot of order in that town then it has so many green spaces unlike most towns in TZ. I also saw a few pictures of Moshi and I think am going to add to on my list of favourites from the land of ujamaa. Mwanza, in my very honest opinion, is very much overrated and has nothing to its "big" name.
 
Back
Top Bottom