Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dar-es-salaam-tanzania-traffic-at-corner-of-azikiwe-and-india-streets-bw0nm7.jpg


helter skelter
 
sasa kama kila siku unakula holiday, utafanya kazi saa ngapi?
usihofu mkuu mimi kazi nishafanya zamani huko nikiwa 20s..
sasa nina madogo wanapiga kazi mi ni mwendo wa bata tuuuuu 24 hours monday to monday..job naibuka nikiamua!!
 
usihofu mkuu mimi kazi nishafanya zamani huko nikiwa 20s..
sasa nina madogo wanapiga kazi mi ni mwendo wa bata tuuuuu 24 hours monday to monday..job naibuka nikiamua!!
nenda kijijini ukalime. wacha vijana wavunje mifupa. wazee kama wewe mjini ni sumbua tu
 
how do people survive kwenye nyumba wall ni mabati bado nashangaa sana aisee
C9184B9F-19E0-4FD9-A233-62B3DE82542F.jpeg
0239BDC5-EE88-4D27-9348-8F07BB6D5952.jpeg
A39DB08D-E9DF-4346-86C6-390C443C459F.jpeg
E7D9EB50-0A4F-4DA4-9302-9265E426C6C0.jpeg

D628B3CD-7B8C-4730-9F49-19345B9D7136.jpeg

86565435-8AD2-4339-82AD-2C69EACF8F51.jpeg

42658EBF-BF39-4BD0-96E5-108364C0C545.jpeg
 
deni la shs 140 ksh sawa na 2000 tsh inafanya mtu ajitoe uhai hvi wakenya wapi mlimkosea Mungu😱😱
hvi munaumaskini wa aina gani???? tena kijana kabisa 30yrs old

 
Back
Top Bottom