Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

inasumbua kichwa chako sana terminal three kumbuka pale kuna phase 2 baada ya one kuisha wakaunganisha na phase 2 😀😀😀 terminal 3 my friend is the biggest and modern terminal in east and central africa utake usitake

usini-mind, najua haya mambo ni ya kushangaa huko ldc. hapa .ke ni kawaida tu. yani sgr terminal ni bomba kuliko chochote tanzagiza. usijali ila mtafika tu..
 
wow side wall and pedestrain path along ocean 😀😀😀😀
E0A44AEE-C00D-43CA-A0FC-CDAB9F6F5153.jpeg
 
usini-mind, najua haya mambo ni ya kushangaa huko ldc. hapa .ke ni kawaida tu. yani sgr terminal ni bomba kuliko chochote tanzagiza. usijali ila mtafika tu..
uhahaha sgr ndio usiguse kabisa hapo tunaongelea africa nzima under european standards😀😀😀😀😀

terminal 3 ni fire yani ukigusa tu umeungua😀😀

yani magu anawakimbiza mchakamchaka hamulali usiku wala mchana
 
vipi, terminal3 vs Nairobi sgr terminus?? katambe au vipi??
 
Back
Top Bottom