ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hawa watu wanatia aibu tena wanashangaza sana...yenu mtu mzima analeta picha ya artificial turf kisha anaona ako mbele sana!!! Nimewashangaa kiukweli...hata pale city stadium kuna artificial turf na hatuongei...then kuna ingine pia pale parklands ya hockey na hata picha hatujawahi rusha huku...kumbe kule bongo artificial turf ni big deal sana!!!nlidhami ni uwanja ya nyasi kumbe ni artificial tuff yenye FIFA haitambui...Bure kabisa
Artificial turf ni muhimu kwenu coz hamna exposure na uelewa wa mambo...nakuambia viwanja vya nyasi bandia ziko Kenya na hutosikia mtu akitajaBora ya huu Mara mia kuliko afraha sijui kasarani yaani Kenya ovyo kabisa
ziko wapi ndio zile tumeoneshwa hapa😀😀😀Artificial turf ni muhimu kwenu coz hamna exposure na uelewa wa mambo...nakuambia viwanja vya nyasi bandia ziko Kenya na hutosikia mtu akitaja
Your prayer has been answered.naombea fainali za sportpesa iwe gormahia vs simba sc.
Tanzania inatuwacha na nini wakati bado mko kwenye ile kundi ya ldc na uchumi wenu inatoshana na uchumi wa Nairobi!!¿ Naona ndoto inakupeleka pabayaKwa nini msiondoe corruption tz inawaacha sasa .corruption kwa magufuli uifanyie wap
Hua naandika sana Mara kadhaa humu fuatiliahebu andika Kiingereza nicheke pls
Wengi sana hata wengine hapa jamii forum walisema sheng ya Nairobians inawavutia sana, makes them wet.


jamaa mzushi uyuhata uwanja wa Santiago benabeu wa Barcelona Una nyasi za bandia nyie bakini na huo ukoko hàpo nakulu.That's artificial grass mwehu wewe....hizo ziko kila sehemu kenya. kucheza mpira kwenye uwanja wa Articial grass hata ni ngumu zaidi kuliko huo uwanja wa Nakuru mnayosema hapa....the ball bounces a lot na kukinyesha tu kidogo hivi mpira haisongi....even Moi stadium in kisumu has artificial grass ndio maana mchezo ikapelekwa nakuru
Tofauti iloyopo kati yetu na nyinyi ni kwamba nyinyi mnaita vijiji cities jambo ambalo sisi hatufanyi...nasikia huko kwenu hadi vijiji vya Tanga, Iringa na Mbeya ni cities!!! Jiulize ni kwa nini Nakuru au Eldoret sio cities huku kwetu ilhali ni kubwa tena zimeendelea kushinda hizo viji zenu tatu nilizotajaDuuuu wakati tz ni sita na mwanza inaweza zidi Kampala na arusha inaizidi hata kigali
Umesema Santiago Bernabeu ni wa Barcelona😀😀😀😀hata uwanja wa Santiago benabeu wa Barcelona Una nyasi za bandia nyie bakini na huo ukoko hàpo nakulu.
That's an artificial base upon which natural grass grows and the combination is 90% natural grass and 10% artificial so we can rightfully call it hybrid. There's nothing artificial in it like those things you guys were showing us here. Santiago bernabeu has become the first stadium in Europe to use such a combination. You will never find any traces of artificial grass in any major European stadiums save for Bernabeuhata uwanja wa Santiago benabeu wa Barcelona Una nyasi za bandia nyie bakini na huo ukoko hàpo nakulu.
We umelewa sio bureTanzania inatuwacha na nini wakati bado mko kwenye ile kundi ya ldc na uchumi wenu inatoshana na uchumi wa Nairobi!!¿ Naona ndoto inakupeleka pabaya
Tuwekee list apa...mkeka uliotoka juzi hapa Ni makerere ndio kinaongoza sasa sijui unajidanganya ili nn kitokeeWhich one did you expect to be there? You have a freedom of expression so you are allowed to air your opinion.
Nakuru imeendelea wakati wanaviwanja vya ajabuajabu kama afraha .Nakuru inaweza nusa na hata mji wa iringa kweli?Tofauti iloyopo kati yetu na nyinyi ni kwamba nyinyi mnaita vijiji cities jambo ambalo sisi hatufanyi...nasikia huko kwenu hadi vijiji vya Tanga, Iringa na Mbeya ni cities!!! Jiulize ni kwa nini Nakuru au Eldoret sio cities huku kwetu ilhali ni kubwa tena zimeendelea kushinda hizo viji zenu tatu nilizotaja