kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
Na migomo yoote ya Ma-professor? Kweli Ranking is fake!Good job UoN.View attachment 796640
Which one did you expect to be there? You have a freedom of expression so you are allowed to air your opinion.Na migomo yoote ya Ma-professor? Kweli Ranking is fake!
Hizi ni zile "made in Kenya"?

yaani hata hawatusumbui kichwa hawa wakenya...Walioandika huo upuuzi wa slum tour ni hao hapoand it's obvious that they are some stupid Kenyans who hate Tanzania.
Whoever wrote that shit did not do enough research, the information can not be relied upon and it's just someone's opinion about TZ. View attachment 796624
ila viwanja vya mpira vya kenya ni bogus kabisa. havina viwango.mwaka huu inabid tu teams za Tanzania zote ndio ziingie fainali kweny ardhi ya Kenya!
Mwisho wa siku thimba imesonga mbele. Hongera kwa watani zetu, mmetulipia deniUwanja mbaya kweli
ila Simba wanacheza chini ya kiwango kabisa
yanatia hasira
Sijui yamekuwaje
ila viwanja vya mpira vya kenya ni bogus kabisa. havina viwango.
yaani kapoteza mda wake kwa kuandika vitu vyakujifariji nafsi yake......Angalia wakenya wanavyojua kuongopa:
Wameandika Dodoma ni part of Daressalaam wakati siyo!
Makosa....Tandika wameandika Taundika!
Na Kariakoo ameandika Kariokor!
Mwandishi anadai eti wale wachonga vinyago pale wenge wanaishi katika umasikini mkubwa na mwenge ni eneo la slums!
Uwongo mtupu kabisa. Ni wazi mwandishi haijui Tanzania wala Dar hata kidogo. Wamejaa chuki na TZ tu.View attachment 796649
ukute aliyeandika hiyo article ni kati ya hawa vilaza wachache waliojiunga hapa jf.yaani kapoteza mda wake kwa kuandika vitu vyakujifariji nafsi yake......![]()
![]()
![]()
wapo humu humu