ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,950
- 6,981
Mpe picha za kirumba, kambarage, sheikh amri abedi karume, ajioneeUnaongea nini wewe yaani viwanja vyenu vibovu tena sana sio afraha sio kasarani yaani ovyo
Mpe picha za kirumba, kambarage, sheikh amri abedi karume, ajioneeUnaongea nini wewe yaani viwanja vyenu vibovu tena sana sio afraha sio kasarani yaani ovyo
Kumbe we punguani kabisa sasa unaongea nini hapo .yaani nyasi bandia sio mihimu kumbe ndo maana Kenya nzima INA viwanja vibovu akili zenu ziko hivyo.kama ndo hivyo mbona fainali ya mwaka Jana iliamishiwa bongo wakati wa Everton yaani hamna hata hayaThat's artificial grass bruh...since when did artificial grass become 100% better? There are several stadiums in kenya with such playing surfaces so sijui mboba mnashikwa na orgams. artificial pitches are offer some of the most challenging playing surfaces you can ever imagine of....kama umewahi cheza mpira unapaswa kujua hilo
mbona umeandika kama unakimbizwa na kanjo askari wa nairobi?.That's artificial grass mwehu wewe....hizo ziko kila sehemu kenya. kucheza mpira kwenye uwanja wa Articial grass hata ni ngumu zaidi kuliko huo uwanja wa Nakuru mnayosema hapa....the ball bounces a lot na kukinyesha tu kidogo hivi mpira haisongi....even Moi stadium in kisumu has artificial grass ndio maana mchezo ikapelekwa nakuru
That's artificial grass mwehu wewe....hizo ziko kila sehemu kenya. kucheza mpira kwenye uwanja wa Articial grass hata ni ngumu zaidi kuliko huo uwanja wa Nakuru mnayosema hapa....the ball bounces a lot na kukinyesha tu kidogo hivi mpira haisongi....even Moi stadium in kisumu has artificial grass ndio maana mchezo ikapelekwa nakuru
Leteni tuoneArtificial pitches zimejaa kenya
Wewe umeingilia thread katikati halafu unaanza kupiga kelele kama wazimu...huu uzi iko na thousands of posts so kwa akili yako unaona watu walikuwa wakidiscuss viwanja vya michezo kutoka ukurasa wa kwanza? Typically danganyikanKuna hoja ya viwanja, vp una la kujibu?
Hebu nikupe hiki cha arusha sheikh abeid stadium arushaChukua hisia weka chini then come back and engage me with a sober mind
Leta tuzione .na mbona wa nakuru moja ya miji mikubwa Kenya uko ovyoArtificial pitches zimejaa kenya
Bora umenielewa, that's the most important thing...Such playing surfaces zimejaa kenya....kisumu alone has two of them. Mombasa has like three if am not wrong....in this era, you should not even be posting playing surfaces with artificial grassmbona umeandika kama unakimbizwa na kanjo askari wa nairobi?.
"articial" ndio kitu gani?.
nlidhami ni uwanja ya nyasi kumbe ni artificial tuff yenye FIFA haitambui...Bure kabisa
zanzibar😀😀😀😀Hope the stadiums are helping Tz to improve in sports.
Bora ya huu Mara mia kuliko afraha sijui kasarani yaani Kenya ovyo kabisanlidhami ni uwanja ya nyasi kumbe ni artificial tuff yenye FIFA haitambui...Bure kabisa
ni town sio jiji😀😀😀😀Leta tuzione .na mbona wa nakuru moja ya miji mikubwa Kenya uko ovyo
kenya kwao ile kitu wanaweza ni ufisadi na corruption😀😀😀😀😀Bora ya huu Mara mia kuliko afraha sijui kasarani yaani Kenya ovyo kabisa
kasarani imetuletea Gold,silver na bronze mingi sana.Bora ya huu Mara mia kuliko afraha sijui kasarani yaani Kenya ovyo kabisa
ni mini mnashindia Kenya kama si umbea...na wanaume kubehave kama wanawakekenya kwao ile kitu wanaweza ni ufisadi na corruption😀😀😀😀😀
Leteni tuone
Leta tuzione .na mbona wa nakuru moja ya miji mikubwa Kenya uko ovyo