Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ila hawa gormahia wasidhani singida united ni team ya mzaha mzaha...gor wakizubaa basi fainali itakuwa ni kati ya simba vs singida(zote za tanzania).
umeona mbali sana....hilo ndilo jibu...tz vs tz
 
Sasa unataka uambiweje??,hizo ni nyumba za watu masikini Wa kipato cha chini kabisa.

Nionyeshe nyumba zao watu Wa kipato cha chini wa Nairobi.
Yani nynyi kila picha ya Dar ikiletwa hapa mnasema ni wa watu wa kipato cha chini wakati dar nzima nyumba zinafanana hivyo...yaonekana Dar watu ni masikini sana kulingana na mnavyo argue. Nyumba za watu wa kipato cha chini Nairobi as you asked zinapatika slums so kama hiyo picha ni ya watu wa slums, so ujue tu kwamba dar is slum
 
ukute aliyeandika hiyo article ni kati ya hawa vilaza wachache waliojiunga hapa jf.
ndiyo yani hiyo habari creater yupo humu humu sema hawatusumbui kichwa......kwani wslichofanya ni upuuzi wa hali ya juu vituko
 
Yani nynyi kila picha ya Dar ikiletwa hapa mnasema ni wa watu wa kipato cha chini wakati dar nzima nyumba zinafanana hivyo...yaonekana Dar watu ni masikini sana kulingana na mnavyo argue. Nyumba za watu wa kipato cha chini Nairobi as you asked zinapatika slums so kama hiyo picha ni ya watu wa slums, so ujue tu kwamba dar is slum
Kuna hoja ya viwanja, vp una la kujibu?
 
Hawaelewi kuwa Tanzania imejengwa na Watanzania wenyewe. Wao walipata mteremko kujengewa na waingereza lakini wameshindwa ku maintain kainchi chao zaidi ya kuongezeka kwa slums.
Hii story ya kenya kujengwa na wazungu tumesikia hapa jf mdo mrefu hadi hata imeisha ladha sasa. Kama ni kweli kenya ilijengwa na wazungu, basi nyinyi ni wajinga sana hamkuwasurutisha wajeramani nao pia wajenge Tanzania wakati wa ukoloni.... wakati waingerza wakijenga Kenya wajeremani walirudi kwao? Kweli mbaazi ikikosa matunda husingizia jua
 
This is Kaitaba stadium Bukoba cjui hata kama kuna mkenya amewahi uskia ..Kenya have to improve their stadiums
View attachment 796735
Kaitaba stadium bukoba
NEW%2BKAITABA%2BSTADIUM.jpg
NEW%2BKAITABA%2BSTADIUM%2B1.jpg
14054946_1102772013104280_2013929410586359958_n.jpg
14102389_1102774769770671_1082801190953283026_n.jpg
simba-b.jpg
NEW%2BKAITABA%2BSTADIUM.jpg
 
Kweli yan uwanja kama Kaitaba bukoba ungeweza kuhost match na ikachezwa vizur ..hebu angalia pitch quality ya Kaitaba View attachment 796730
That's artificial grass mwehu wewe....hizo ziko kila sehemu kenya. kucheza mpira kwenye uwanja wa Articial grass hata ni ngumu zaidi kuliko huo uwanja wa Nakuru mnayosema hapa....the ball bounces a lot na kukinyesha tu kidogo hivi mpira haisongi....even Moi stadium in kisumu has artificial grass ndio maana mchezo ikapelekwa nakuru
 
Unaongea nini wewe yaani viwanja vyenu vibovu tena sana sio afraha sio kasarani yaani ovyo
 
kaitaba's pitch is 100 times better than their kasarani museum.
That's artificial grass bruh...since when did artificial grass become 100% better? There are several stadiums in kenya with such playing surfaces so sijui mboba mnashikwa na orgams. artificial pitches are offer some of the most challenging playing surfaces you can ever imagine of....kama umewahi cheza mpira unapaswa kujua hilo
 
Back
Top Bottom