Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kasarani imetuletea Gold,silver na bronze mingi sana.
imetuuza worldwide kwa mchezo wa rugby,volleyball,netball hadi swimming... old is gold
Mnashindwa kujenga stadium zinazoeleweka pamoja na masifa yote eti middle income
 
ni mini mnashindia Kenya kama si umbea...na wanaume kubehave kama wanawake
uhahahha ndio unemployment inawamaliza heheh 40% wakat leo munashangaa tanzania kua na unemployment ya 2.7% hahhah😀😀😀😀
 
Inaonekana swala la viwanja vya soka hulijui vzuri ...
Most of pitches zinatumia artifical turf..na manufactures hawawezi wakaharbu soko lao ..kutengeneza artifical turf ..most of venues in europe use artifical turf mixed with natural grass ..na almst 6stadiums in Tz have hybrid grass
Arrificial grass in European stadiums? Really??? the likes of Old Trafford, Emirates, Stamford Bridge and the likes? wewe unafaa kuangaliwa akili....at this rate utatembea uchi soon
 
Ihungo Bukoba town north west tz
FB_IMG_15277003972049960.jpg
FB_IMG_15277003719752778.jpg
FB_IMG_15277003902322275.jpg
FB_IMG_15277004305794761.jpg
 
3 tu lakin kisum haina hadhi ya kuitwa city inaitwa tu kwasababu ndio mazoea infact kiuhalisia cities kwao ni mbili tu mombasa na nairobi 😀😀😀😀
Duuuu wakati tz ni sita na mwanza inaweza zidi Kampala na arusha inaizidi hata kigali
 
atakaeniletea uwanja kama huu nje ya nairobi naomba anitag tafadhali😀😀😀😀
A389BB43-6631-4332-BF9D-2BE99CB6785F.jpeg
 
Hatujashindwa...uwanja ya maana kama Emirates ni kitu ya 40Billion pekee...
Hapo ni corruption
heheh uwanja kama ya emirates yani unaota ndoto za mchana kweupe😀😀😀😀
hnaona ni rahisi kama kula bajia tu
 
Arrificial grass in European stadiums? Really??? the likes of Old Trafford, Emirates, Stamford Bridge and the likes? wewe unafaa kuangaliwa akili....at this rate utatembea uchi soon

Nilijua tu kwamba hii sector hauko vizur ..acha ubishi wa Kuku.. hizo stadium nimesema zinatumia HYBRID GRASS yan mixture ya natural na artifical sio artfical tupu wala si natural tupu ..nenda ka Google Grass Master utajua ni nn au ngoja nkupe mfano
IMG_4159.JPG

IMG_4160.JPG


Kalale sasa
 
weee ni fala sana...kuna thread za izo towns zenu Ka mwanza..tafuta
Yaani Kenya ni kusini tu mwa nchi karibia na Nairobi ndo afadhali uko kasikazini sijui turkana ni alshababu tu na umaskini wa kutupwa.igeni tz maendeleo kila upande
 
heheh uwanja kama ya emirates yani unaota ndoto za mchana kweupe😀😀😀😀
hnaona ni rahisi kama kula bajia tu
Emirates ilijengwa na 55billion.
Pesa kidogo sana iyo kwa nchi Ka Kenya.
pesa yenye Counties wanapewa na serikali pekee inajenga emirates saba
 
Back
Top Bottom