Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi tangu nijiunge na jamii forum kiswahili changu kinazidi kuboreka asante kwa jamii forum
i can guarantee you, uki master kiswahili cha tz, utakuwa una-date na watoto wazuri wa nairobi.

kiswahili kipo very romantic na watoto wazuri wa nairobi wanavutiwa sana na chali anayebonga kiswahili kizuri hasa cha kitz.

nakumbuka siku nikiwa kwa matatu hapo nai, simu yangu iliita halafu kwa siti alikuwa amekaa dem mmoja mzuri sana.

aliposikia vile nilivokuwa naongea kiswahili yangu kwa simu, she got very excited and couldn't hide her feelings towards me.

long story short, tukawa mabeshte na tuka establish a short term relationship.
thanks to my tanzania swahili. kenya girls love it.

achana na sheng, lugha ya wakora na machokoraa wa nairobi.
 
Sheng ni Lugha ya majambazi!
 
Sheng ni Lugha ya majambazi!
haswaaa.
katika maisha yangu yote ya kuishi nairobi,sijawahi kuona mkenya decent anazungumza sheng.wengi wao ni kiswahili (japo kiswahili chao hakivutii) na kingereza.

sheng huzungumzwa zaidi kwenye mageto ya watafuna miraa na yale maeneo duni ya kariobangi, mathare, kibera nk.
 
34638466_451207485304911_5745128136949891072_n.jpg
 
i can guarantee you, uki master kiswahili cha tz, utakuwa una-date na watoto wazuri wa nairobi.

kiswahili kipo very romantic na watoto wazuri wa nairobi wanavutiwa sana na chali anayebonga kiswahili kizuri hasa cha kitz.

nakumbuka siku nikiwa kwa matatu hapo nai, simu yangu iliita halafu kwa siti alikuwa amekaa dem mmoja mzuri sana.

aliposikia vile nilivokuwa naongea kiswahili yangu kwa simu, she got very excited and couldn't hide her feelings towards me.

long story short, tukawa mabeshte na tuka establish a short term relationship.
thanks to my tanzania swahili. kenya girls love it.

achana na sheng, lugha ya wakora na machokoraa wa nairobi.
Nikama madem wenyu basi wanapenda majambazi, coz ive gotten them using my sheng
 
haswaaa.
katika maisha yangu yote ya kuishi nairobi,sijawahi kuona mkenya decent anazungumza sheng.wengi wao ni kiswahili (japo kiswahili chao hakivutii) na kingereza.

sheng huzungumzwa zaidi kwenye mageto ya watafuna miraa na yale maeneo duni ya kariobangi, mathare, kibera nk.
huhuhu weee kadoda
 
battle ya hotel walishashindwa kitambo... hawataki hata kuisikia.
wamuulize waziri wao wa masuala ya utalii, najib balala.
Ni kweli tulishindwa...tulishindwa na kina hong kong hotel...hehe
 
Back
Top Bottom