Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uwanja wenyewe ndio huu ewe Mungu nipe jicho la tatu linijaze ufahamu😀😀😀
A0A238E9-64FD-4121-9AFB-926B78FBB06C.jpeg
 
Emirates ilijengwa na 55billion.
Pesa kidogo sana iyo kwa nchi Ka Kenya.
pesa yenye Counties wanapewa na serikali pekee inajenga emirates saba
Shida mnaongea sana .yaani Kenya nzima hakuna uwanja unaoweza fikia kaitaba stadium ya kule bukoba
 
Emirates ilijengwa na 55billion.
Pesa kidogo sana iyo kwa nchi Ka Kenya.
pesa yenye Counties wanapewa na serikali pekee inajenga emirates saba
usifkiri vifaa vya ujenzi na instruments and machine for constructions ni same price kama hapo nairobi toeni huo ujinga kichwani mwenu kwao inaeza cost 55b ila kwa nairobi ikakost 100b hvi wewe uchumi uko mweupe kabisa naona😀😀😀😀
 
usifkiri vifaa vya ujenzi na instruments and machine for constructions ni same price kama hapo nairobi toeni huo ujinga kichwani mwenu kwao inaeza cost 55b ila kwa nairobi ikakost 100b hvi wewe uchumi uko mweupe kabisa naona😀😀😀😀
Iyo ni standard cost...ikiacha labda -10b or+10B.
 
Zuzu ya dar kwa ubora wake...huhu
kasome uchumi kwanza ujue sio unakuja hapa unaongea pumpa tu eti emirates wamejenga for 55b and nairobi tunaeza jenga kiwanja kama emirates kwa 55b 😛😀😀 nimecheka sana aisee unamawazo finyu sana
 
Kumbe we punguani kabisa sasa unaongea nini hapo .yaani nyasi bandia sio mihimu kumbe ndo maana Kenya nzima INA viwanja vibovu akili zenu ziko hivyo.kama ndo hivyo mbona fainali ya mwaka Jana iliamishiwa bongo wakati wa Everton yaani hamna hata haya
You see?? Even the name tells it all....nyasi bandia as you rightfully call it. Tangu lini kitu bandia ikawa kitu cha maana? Artificial pitch sio kitu ya kutajia watu...it just shows how backward you guys are...hata huku kenya artificial ziko but tunaona sio kitu cha kutangazia dunia coz there's absolutely nothing good in them
 
Inaonekana swala la viwanja vya soka hulijui vzuri ...
Most of pitches zinatumia artifical turf..na manufactures hawawezi wakaharbu soko lao ..kutengeneza artifical turf ..most of venues in europe use artifical turf mixed with natural grass ..na almst 6stadiums in Tz have hybrid grass
Artificial grass in European leagues???? Hebu nitaje uwanja katika liga ya uingereza au ujerumani inayotumia artificial turf
 
Back
Top Bottom