Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakuru imeendelea wakati wanaviwanja vya ajabuajabu kama afraha .Nakuru inaweza nusa na hata mji wa iringa kweli?
Kwa sababu umepumbazwa na uzalendo za kijinga pamoja na mila na utamaduni za ujamaa, endelea kusherekea kuwepo kwa vijiji tz zinazoitwa cities. Hiyo hitowahifanyika Kenya. Nakuru hapo umeenda mbali sana.Ungesema Iringa tuupatie Thika ama hata Kericho...Nakuru umeenda mbali sana kijana mdogo
 
Tuwekee list apa...mkeka uliotoka juzi hapa Ni makerere ndio kinaongoza sasa sijui unajidanganya ili nn kitokee
Siku nilikuwa naweka list ulikuwa wapi? Go through the previous chats utaipata huko.
 
Tanzania inaendelea kuishinda Kenya na Population. Yaani wanazaana sana kama panya bila mpangilio huku percentage ya walala hoi ikizidi kuongezeka.
 
Nakuru imeendelea wakati wanaviwanja vya ajabuajabu kama afraha .Nakuru inaweza nusa na hata mji wa iringa kweli?

chukua 1000 bob ufike nakuru city......its bigger and more planned than daresalaam town
 
Tanzania inaendelea kuishinda Kenya na Population. Yaani wanazaana sana kama panya bila mpangilio huku percentage ya walala hoi ikizidi kuongezeka.

Nakuru might be having a bad stadium lakini ni bonge la mji dear ldc tanzanians....estates za huko kwanza ni moto wa kuotea mbali
 
Tanzania inaendelea kuishinda Kenya na Population. Yaani wanazaana sana kama panya bila mpangilio huku percentage ya walala hoi ikizidi kuongezeka.
wewe endelea tu kutoa porojo.
unatoa maoni gani kuhusu 2.5 million slum dwellers wa kibera aka mabilionea wa kibera?.

pls usijibu kwa emotions, ukifanya hivyo nitaamini wewe ni kilaza.

IMG_20180607_183739.jpg
 
Tanzania inaendelea kuishinda Kenya na Population. Yaani wanazaana sana kama panya bila mpangilio huku percentage ya walala hoi ikizidi kuongezeka.
Tanzania ni nchi kubwa ww acha upimbi. ..
Hata ivyo ni ajabu nchi yenu kuwa na pop ya watu 50million ilhali sisi na ukubwa wa nchi hii tuko 55millions appr ...jiulize nani anazaana sana...
Kitu pekee mmetuzidi ni ujinga
 
I believe those figures and not accurate..and like most tanzania who deny they live in a slum city am proud of kibera and wont deny its existance....you may think its large cos you have never set foot in it then youl realise jus how small it is compared to dar es sluum...
 
povu hilo....
 
Tanzania ni nchi kubwa ww acha upimbi. ..
Hata ivyo ni ajabu nchi yenu kuwa na pop ya watu 50million ilhali sisi na ukubwa wa nchi hii tuko 55millions appr ...jiulize nani anazaana sana...
Kitu pekee mmetuzidi ni ujinga
53.4m not 55m
 
Sidhani kenya imefika 50mln
 
Msikie huyu naye kama sio bang ni nini

chukua fare nenda nakuru city utafyata mdomo ......kisii yenyewe kubwa kuliko arusha kwa ukweli ila kelele mingi za arusha utadhani ni mji mkubwa...lol.mwanza nayo ni mawe mlimani tu....
 
Back
Top Bottom