Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni pesa wametoa wanaita,halafu mjinga mmoja anapambanisha nafasi ya azam na sportpesa tz.

Hiyo pesa hata kumlipa manara peke yake kwa mwaka haitoshi.
sport pesa ilishindwa kuwasaidia gor mahia itaweza kwa tanzania hehehhe😀😀😀😀
 
So baada ya sportpesa kudhamini simba,umesikia simba ikifanya nini na hizo pesa,jua umesema ni nyingi kwao!!!
Hiyo ni sawa na kuniuliza Arsenal wanafanyia nini pesa wanazopewa na Fly Emirates. Hayo ni masuala ya ndani ya timu ambayo hata wewe apo Dar huyajui
 
Hiyo ni sawa na kuniuliza Arsenal wanafanyia nini pesa wanazopewa na Fly Emirates. Hayo ni masuala ya ndani ya timu ambayo hata wewe apo Dar huyajui
ni sawa na hio sport pesa kulipa simba ili watangaziwe biashara yao 😀😀😀😀 sasa usije kufkiri kua sport pesa ndio inaemdesha simba kwa ufadhili BIG NO

ni kama vile NMB inavoilipa azam fc kutangaziwa biashara yao
07AE409D-8DAF-4306-8648-37D154BD19A8.jpeg
 
Kwahiyo mmiliki mwenye hisa zaidi za umiliki wa simba ni sportpesa!!!!sio??
Sasa sponsor atakuwaje tena mmiliki wa klabu? kwani Arsenal inamilikiwa na Fly Emirates? Au Man utd inamilikiwa na Chevrolet? sponsors are just sponsors and that's it. That's why you will see teams changing sponsors every now and then. Kweli we are just arguing with zuzus
 
Hiyo ni sawa na kuniuliza Arsenal wanafanyia nini pesa wanazopewa na Fly Emirates. Hayo ni masuala ya ndani ya timu ambayo hata wewe apo Dar huyajui
Sasa kama umejua ni pesa mingi wamepewa toka wajitambue,umeshindwaje kujua itawasaidia kitu gani!!!!!

My friend hiyo ni pesa mbuzi bongo tunaita,itaishia ktk matumizi ya kawaida kabisa,kama ambavyo haikuwahi kuwepo.
 
Sasa sponsor atakuwaje tena mmiliki wa klabu? kwani Arsenal inamilikiwa na Fly Emirates? Au Man utd inamilikiwa na Chevrolet? sponsors are just sponsors and that's it. That's why you will see teams changing sponsors every now and then. Kweli we are just arguing with zuzus
Nadhani umejua kwanini nilimuuliza hili swali mwenzako.

Au umekurupuka tu kama kawaida yenu???
 
ni sawa na hio sport pesa kulipa simba ili watangaziwe biashara yao 😀😀😀😀 sasa usije kufkiri kua sport pesa ndio inaemdesha simba kwa ufadhili BIG NO

ni kama vile NMB inavoilipa azam fc kutangaziwa biashara yao
View attachment 794726
Hehehe kitu hamtaki kuamini na kukiri ni kwanba timu zenu zinadhaminiwa na sportpesa. Mtakaa ila ukweli itabaki pale pale
 
Hehehe kitu hamtaki kuamini na kukiri ni kwanba timu zenu zinadhaminiwa na sportpesa. Mtakaa ila ukweli itabaki pale pale
Ni tunakushangaa wewe kuona ni bigdeal.wakati pesa yenyewe mia mbili.

Ama hujui Rwanda wamefanya nini arsenal!!!!
 
Nairobi ukipaki gari mtaani km hivi,ndani ya dk 2 utaikuta juu ya mawe,machokoraa washaiba kila kitu

usinikumbushe tukio nililowahi kulishuhudia kwa macho yangu nikiwa eneo la roysambu, nairobi.

kuna siku mida ya jioni mimi na rafiki zangu vijana wa kikenya(wenyewe huita mabeshte),tulikuwa tunatembea kwa mguu toka maskani kwetu tukielekea hatua chache ilipo pub tuliyozoea kujipatia kinywaji, burudani ya mziki na ku-have fun.

tukapita katika apartment moja ambayo nje ya geti ilikuwa imepaki prado moja matata sana.

tuliisifia sana ile gari kutokana muonekano wake. siku ya pili yake tukiwa tunapita eneo lile lile, tukakutana na chali mmoja mkenya, akatuambia ile prado iliyopaki jana nje ya ile apartment imeibiwa na wakora.walikuja kuiiba mida ya saa tatu usiku.wali unlock milango kwa mbinu wanazojua wao na kutokomea nayo.

roho ilituuma sana. tangu siku ile nikasema kenya hususani jiji la nairobi sio mahala rafiki kwa watu wanaomiliki magari. mda wote yakupasa uchukue tahadhari madhubuti kuhakikisha unajilinda wewe mwenyewe na gari lako.
 
Hehehe kitu hamtaki kuamini na kukiri ni kwanba timu zenu zinadhaminiwa na sportpesa. Mtakaa ila ukweli itabaki pale pale
team zetu gani kutoa pesa ya kufanyiwa matangazo ndio kudhaminiwa hehehe mbn NMB wanatoa pesa azam fc lakin hatuskii neno kudhaminiwa 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom