Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu tuonyeshe ya Tz and UG na pia bandari hewa ya Bagamoyo... 😀: tag me please if you have em pictures.
lamu pipeline RIP😀😀😀😀
montave RIP
pinnacle RIP
Konza RIP
tatu city RIP
naomba munifkishie salamu za rambi rambi😛
 
Ichogal is busy catching feelings with ongoing projects like
Montave
Pinnacle
Tatu city
Konza city
Wacha atafute tampons kwanza
uhahah on going where are they???😀😀😀
au mpaka 2100 ndio zitakamilika😛😛😛
 
usinikumbushe kuhusu probox...zimejaa sana kenya hizo gari kiasi kwamba wakora na wasafirisha miraa huzitumia katika kazi zao.

hapa dar unaweza uka-drive more than 50 kilometers usikutane na probox but sio kenya...kenya kila baada ya nusu kilomita unapishana na probox ishirini.
Dar hamna magari labda daladala na basi kadhaa za BRT ndio maana unaweza uka-drive daladala more than 50km usikutane na gari private... 😀😀
 
Dar hamna magari labda daladala na basi kadhaa za BRT ndio maana unaweza uka-drive daladala more than 50km usikutane na gari private... 😀😀
hehhe feelings zimekukamata kisawasawa😀😀
hapa yenyewe niko my own car lexus manual 7 speed transmission hehehe😀😀😀😀 260km per hr
CAAA1D01-A7E1-4584-95A0-E7E61236C979.jpeg
 
Ichogal is busy catching feelings with ongoing projects like
Montave
Pinnacle
Tatu city
Konza city
Wacha atafute tampons kwanza
Ata ni mwisho wa mwezi mpaka awe ananyesha no wonder the hormonal imbalances leading to impaired judgement and mafeelings.
 
hehehehh😀😀😀 nishafika home
kitu cha mwingerez hicho😛😛😛
mwaswast roho inamtoka anataman angezaliwa tanzania hehheheh
View attachment 789971

View attachment 789974
View attachment 789978
View attachment 789980
View attachment 789982
Ive noticed something about tz,in kenya these altezzas were mostly noticed around 2007-2010 but whenever im in tz i still see them same as toyota crown athlete 2007,ive been noticing them in tz alot while kenya we now mostly hav the 2010 model
 
wakati wanamuziki wa kenya wakipigania kufanya tour mashinani kwenye counties mbalimbali za kenya, huku tanzania mwanamziki wa kike rosa ree ananuliwa jumba la kifahari na management yake mpya.

hard work pays, hongera sana rosa ree kwa hatua kubwa ya kimafanikio uliyoifikia.

wasee wa porojo ruksa kutoa povu.
viva tanzania.

View attachment 789596View attachment 789597View attachment 789598View attachment 789599View attachment 789600View attachment 789601
NB: tanzani music industry is bigger than kenya's, uganda 's and rwanda combine.
tukiwaambia kama aerial view ya dar kwenye makazi ya watu .....bado hatupost hata robo wanaanza kubwabwaja.....
 
Back
Top Bottom