POST YA KICHOKOZI YA KULIAMSHA DUDE LA HASIRA ZA WAKENYA.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
moja kati ya fahari kubwa kwa mwanaume wa kiafrika ni kumiliki shamba, kiwanja na kuishi katika nyumba yake aliyoijenga na kuigharamia yeye mwenyewe.
sio kuishi katika nyumba ya ku-rent iliyojengwa na mwanaume mwengine halafu ujisifie kuwa wewe ni mwanaume.
leo nilienda kuzungusha uzio katika moja ya plot yangu(wakenya huita shamba) ninayoimiliki kilimota kadhaa nje ya jiji la dar es salaam.
najuwa kwa vyovyote vile wakenya hawatafurahi kwa mimi kupost picha hizi,lazima watatoa povu cos ni lawaida yao kutoa povu pale mtanzania anapo-post kitu/asset ambayo kwao ni adimu kumilikiwa na mkenya wa kipato cha kati.
rejea povu wanalotoa kuhusu gari na Iphone ya ichoboy. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mind you my plot is located in dar es salaam some kilometers away from the capital city.not in ushago or mashinani like many of you use to brag ati ooh tuko na mashamba ushago.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
View attachment 794803View attachment 794804View attachment 794805View attachment 794806View attachment 794807View attachment 794808View attachment 794809