Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

cecafa cup 2018, azam tv tano tena.
last year azam tv ilishinda kandarasi ya kuonyesha mashindano ya cecafa yaliyofanyika kenya.
round hii wembe ni uleule.

tv za kenya zisubiri kupewa feed just like last year.

btw naona katimu kamoja tu ka kenya ndio katashiriki...nadhani ni uoga au vitumu vyao vingine havijafuzu kushiriki.

IMG_20180605_132558.jpg
 
Back
Top Bottom