mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
VIGOROFA.,na vinaanguka.heheh wanajenga vigorofa ple huruma slum vinaanguka kila leo alaf wanakwambia wamesoma😀😀😀
Ndio sababu wanajivunia kiingereza pekee.
VIGOROFA.,na vinaanguka.heheh wanajenga vigorofa ple huruma slum vinaanguka kila leo alaf wanakwambia wamesoma😀😀😀
umeamua kurudi baada ya kunipita?Kwahiyo mmiliki mwenye hisa zaidi za umiliki wa simba ni sportpesa!!!!sio??
neno simba damu hio ndio maana yake😀😀
Nimekuja kukusaidia,baada ya kujuzwa tatizo lako.umeamua kurudi baada ya kunipita?
Mo Dewji Amwaga Sh Bil 20 Simba - Global Publishersumeamua kurudi baada ya kunipita?
5yr long term deal na Sportpesa. ikiisha, inaandkishwa deal nyengine. Mo de Uji atangoja sanawapi ameandika kua kwanzia leo mm sidhamini simba ukiona sehem kaandika nitag😀😀😀😀
umeskia neno simba damu unajua maana yake??
Kwahiyo unahisi nafasi ya MO imechukuliwa na sportpesa!!!!5yr long term deal na Sportpesa. ikiisha, inaandkishwa deal nyengine. Mo de Uji atangoja sana
Mo Dewji Amwaga Sh Bil 20 Simba - Global Publishers5yr long term deal na Sportpesa. ikiisha, inaandkishwa deal nyengine. Mo de Uji atangoja sana
MO DEWJI AMWAGA SH BIL 20 SIMBA
yani hawa watu ni wajinga sijapata kuona😀😀😀 alaf wanavoongea utasema sport pesa ni yao 100% heheh kumbe wana 48 out of 100 zilizobaki 52 zinamilikiwa na wazungu😛😛😛Kwahiyo unahisi nafasi ya MO imechukuliwa na sportpesa!!!!
Alitaka ujue role ya MO hapo simba,MO DEWJI AMWAGA SH BIL 20 SIMBA
July 30, 2016
hizo ni 'zilipendwa'
billion 20 sport pesa itafika hapo??😀😀😀MO DEWJI AMWAGA SH BIL 20 SIMBA
July 30, 2016
hizo ni 'zilipendwa'
Million 225!!!billion 20 sport pesa itafika hapo??😀😀😀
mukajiona mumetoa pesa nyingi hehehehhe
angalia tarehe ya hio nakala yako wewe. kwa sasa Mo de Uji atasubiri sana.billion 20 sport pesa itafika hapo??😀😀😀
mukajiona mumetoa pesa nyingi hehehehhe
heheeh million 225 wanaona imetolewa billion wakat kwao team za tanzania ni pesa ya mbuzi tu😀😀Million 225!!!
Hivi vituko ni vya kulipia utumiwe kwa sms,sio upewe bure.
Ni pesa wametoa wanaita,halafu mjinga mmoja anapambanisha nafasi ya azam na sportpesa tz.heheeh million 225 wanaona imetolewa billion wakat kwao team za tanzania ni pesa ya mbuzi tu😀😀
jamii forum link😀😀😀😀😀angalia tarehe ya hio nakala yako wewe. kwa sasa Mo de Uji atasubiri sana.
MO anataka Simba imlipe Bilioni 1.4
ahahahha nani huyo bogus😀😀😀😀Ni pesa wametoa wanaita,halafu mjinga mmoja anapambanisha nafasi ya azam na sportpesa tz.